Mahakama yajitenga kujadili uhalali ndoa ya Mrema, Doris
Mahakama ya Rufani, imekataa kujadili uhalali wa ndoa kati ya aliyekuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Augustino Mrema na Doris Mkandala kwa kuwa suala hilo halikuwahi kutolewa maamuzi na Mahakama Kuu.