Search

330 results for Janeth Mushi :

  1. Mzee wa miaka 61 jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka minane

    Mahakama ya Wilaya ya Arumeru, imemhukumu kifungo cha maisha gerezani, Christopher Mariki (61) baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka minane.

  2. Mwenyekiti Monduli aamriwa kumlipa fidia Sh250 milioni aliyekuwa RC Morogoro

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imemuamuru Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Isack Joseph, kumlipa fidia ya Sh250 milioni baada ya kukutwa na hatia ya kumkashifu na kumtusi...

  3. Wataalam wa Tehama wajadili 'miji maridadi'

    Wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), kutoka nchi mbalimbali duniani, wameanza mkutano wao mkoani hapa wakijadili namna ya kuboresha huduma katika miji na majiji.

  4. Jela miaka 10 kwa kumuua bila kukusudia 'house girl' wake

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imemhukumu kifungo cha miaka 10 jela, Mkami Shirima, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa msaidizi wake wa ndani ‘house girl,’ Salome...

  5. Dk Biteko ataka taasisi za umma zijitathmini

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, ameagiza kuhakikisha sera ya taifa ya ufuatiliaji na tathmini inakamilika haraka ili ianze kutumika kama nyenzo muhimu ya kuongoza mwelekeo...

  6. Serikali yatumia Sh27.83 bilioni kulipa fidia ajali, magonjwa kazini

    Serikali imesema gharama za fidia za ajali na magonjwa yanayotokana na kazi zimeongezeka kutoka Sh13.19 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2021 hadi kufikia Sh27.93 bilioni Juni 2023.

  7. PRIME Wakili Madeleka atimua mbio kortini

    Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka jana alitimua mbio kwa kile kinachodaiwa kuhofia kukamatwa tena na askari polisi baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, kumuachia kwa dhamana baada ya kukaa...

  8. Wakili Madeleka atimua mbio baada ya kupata dhamana

    Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka, ameondoka kwa staili ya aina yake ambapo kabla hajatoka mahakamani hapo, alibadili nguo na kutimua mbio baada ya kuachiwa kwa dhamana na Mahakama Kuu Kanda...

  9. Wakili Madeleka apewa dhamana

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana.

  10. Pima na wenzake kukata rufaa kupinga hukumu

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili, wanatarajia kukata rufaa baada ya kutoridhishwa na hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.

Page 1 of 33

Next