Uzuri na kadhia za Hospitali ya Mloganzila Hospitali ya rufaa Mloganzila ni tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na ina kila aina ya vielelezo kuwa miongoni mwa taasisi za kisasa za afya Afrika Mashariki.
Flyover Tazara yawatia wazimu madereva daladala, abiria walia Kero mpya imeibuka kwa abiria wa daladala eneo la Tazara jijini Dar es Salaam baada ya madereva wa daladala za Mnazi Mmoja- Gongo la Mboto kupitiliza vituo wakitumia zaidi barabara ya juu na...
Ajali nyingine Morogoro, lori laacha njia na kuua watatu Watu watatu wamefariki na mmoja kujeruhiwa baada ya lori lililokuwa likitokea mkoani Ruvuma kuelekea Jijini Dar es salaam kuacha njia na kugonga gari na mtembea kwa miguu na nyumba iliyopo kando...
Tume ya hakijinai yazua mjadala Rais Samia Suluhu Hassan mara kadhaa ameahidi kutafuta suluhisho la malalamiko kutoka katika taasisi za haki jinai ili haki ipatikane kwa wakati
Makosa manane ya bodaboda yanayogharimu maisha ya watu Ujio wa pikipiki maarufu kama bodaboda unatajwa kuleta neema ya ajira kwa vijana na kurahisisha usafiri, lakini unadaiwa kuleta janga la ajali na kusababisha vifo na vilema vya kudumu.
Wanapiga soka na kusoma vitabu Hawakukosea waliosema usihukumu kitabu kwa kuangalia pambo lake la nje, kabla ya kujua kilichopo ndani, ndivyo yalivyo maisha ya wanasoka wengi, nje ya uwanja wana maisha mengine tena mazuri sana.