Matokeo ya darasa la nne 2020/2021 haya hapa

Matokeo ya darasa la nne 2020/2021 haya hapa

Muktasari:

  • Wanafunzi 1,551,599 wamefaulu mtihani wa darasa la nne kati ya wanafunzi 1,704,286 waliofanya mtihani huo.

Dar es Salaam. Wanafunzi 1,551,599 wamefaulu mtihani wa darasa la nne kati ya wanafunzi 1,704,286 waliofanya mtihani huo.

Ufaulu huo ni ongezeko la asilimia 1.34 ikilinganishwa na kiwango cha ufaulu kwa mwaka uliopita.