Ronaldo, Mastaa wengine wamlilia Diogo Jota Baada ya kutokea taarifa ya majonzi kufuatia kifo cha mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota aliyeaga dunia akiwa na miaka 28 baada ya kupata ajali ya gari akiwa na mdogo...