Sh44 bilioni kutumika ujenzi wa mradi wa umwagiliaji Bwawa la Yongoma Same
Serikali imetoa Sh44.1 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa umwagiliaji wa Bwawa la Yongoma, unaotarajiwa kuwanufaisha wakulima zaidi ya 23,000 katika tarafa za Ndungu na Gonja, Wilaya ya...