Search

190 results for Peter Akaro :

 1. Mfumo unamgharimu kuwika zaidi kimataifa

  Wameingia kwenye mfumo!. Ni kauli aliyoitoa staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz baada ya wimbo wake ‘Komasava’ kubamba sehemu nyingi duniani ikiwemo Nigeria ambapo wasanii wake wamekuwa...

 2. Rema bado yupo sana Mavin Records

  Mtayarishaji wa muziki kutoka Nigeria ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mavin Records, Don Jazzy amekanusha tetesi kuwa mwimbaji maarufu Afrika, Rema amevunja mkataba wake na rekodi lebo hiyo

 3. Kisa ‘uchumba sugu’, mpenzi wa Wizkid atema nyongo!

  Kwa mara nyingine tena mpenzi wa Wizkid, Jada P ametema nyongo na sasa ikiwa ni baada ya kuandamwa mtandaoni na mashabiki wanaohoji ni lini ataolewa maana uhusiano wake na msanii huyo wa Nigeria...

 4. Siku 182 za heshima kwa mastaa Bongo

  Wasanii kama Harmonize, Alikiba na Monalisa ni miongoni mwa mastaa Bongo ambao wamepata heshima kubwa tena ya kipekee ndani ya kazi zao katika nusu ya mwaka 2024 ambayo imekamilika hivi karibuni.

 5. Tyla, Usher wateka BET 2024

  Usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Peacock huko Los Angeles, Calfornia nchini Marekani kumetolewa tuzo za BET 2024 ambapo Usher Raymond IV na Tyla ndio mastaa waliong'aa zaidi

 6. Hamisa Mobetto hapoi, wala haboi mtandoani!

  Kama ilivyotarajiwa, hatimaye Hamisa Mobetto amempiku Wema Sepetu katika orodha ya mastaa wa kike Bongo wenye wafuasi wengi Instagram ikiwa ni miaka 12 tangu alipojiunga na mtandaoni huo wa kijamii.

 7. BET kutolewa kesho Megan, Will Smith ndani

  Tuzo za BET 2024 zinatarajiwa kutolewa hapo kesho Juni 30 huko Los Angeles, California katika ukumbi wa Peacock Theater, huku Taraji P. Henson akirejea tena katika jukwaa hilo kama mshehereshaji...

 8. Mwana FA aliimbia Mabinti, nao wamemuheshimisha!

  Moja ya nyimbo zilizopo katika albamu ya kwanza ya Mwana FA, Mwanafalsafani (2002) ni ‘Mabinti’ ambao hadi sasa unatajwa kuwa miongoni mwa nyimbo kali za mapenzi upande wa Hip hop kuwahi kutokea...

 9. Nyuma ya pazia Jennifer Lopez na Ben Affleck kuuza jumba lao

  Wakati uvumi ukiendelea kushika kasi kuwa Jennifer Lopez (J.Lo) ameachana na mumewe Ben Affleck, inaripotiwa kuwa wawili hao wanauza jumba lao la kifahari la Beverly Hills ambalo walilinunua kwa...

 10. Ujue upande wa pili wa Navy Kenzo

  Msanii na mtayarishaji muziki Bongo, Nahreel amesema Navy Kenzo Academy imelenga kukuza vipaji vya soka na kuviuza nje katika ligi za ushindani mkubwa lakini hiyo haifanyi kuacha kuwasaidia...

Page 1 of 19

Next