Search

123 results for Emmanuel Mtengwa :

  1. Rais Samia atunukiwa PhD, asema…

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa udaktari wa heshima (PhD) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Ikiwa ni miezi 11 imepita tangu aliposema alijaribu kufanya Shahada ya Uzamivu lakini...

  2. Baraza la Mawaziri latoa maagizo ajali ya ndege

    Siku saba baada ya ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air iliyoanguka Ziwa Victoria na kusababisha vifo vya watu 19, Baraza la Mawaziri leo Jumatatu Novemba 14, 2022 limeagiza wataalamu wa...

  3. Rais Samia aita Baraza la Mawaziri kujadili ajali ya ndege

    Ndege ya Precision Air 5H-PWF, ATR 42-500 ambayo ilikuwa na watu 43 ilianguka Jumapili Novemba 6, 2022 asubuhi katika Ziwa Victoria karibu na uwanja wa ndege wa Bukoba na kusababisha vifo vya...

  4. HESLB yafungua dirisha rufaa mikopo elimu ya juu

    Dirisha hilo la rufaa kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na viwango vya mikopo walivyopangiwa limefunguliwa rasmi leo Jumapili, Novemba 13, 2022 litafungwa Jumapili ijayo.

  5. ATCL kupunguza safari zake, nyingine kufutwa

    Mabadiliko hayo yatatokana na changamoto za kiufundi duniani kote ambapo injini aina ya PW1524G-3 zinazotumika kwenye ndege aina ya Airbus A220-300.

  6. Ndege ya Precision Air yapata ajali ziwani Bukoba

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, William Mwampaghale amethibitisha taarifa za ajali hiyo.

  7. Bomu la Dege Eco Village sasa latafutiwa mwekezaji

    Uvumilivu wa fukuto lililodumu kwa miaka mingi ndani ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuhusu utekelezaji wa mradi wa Dege Eco Village wenye thamani ya dola za Marekani 653 milioni...

  8. Muhoozi aweka wazi kutaka urais Uganda

    Baada ya Muhoozi kukanusha mara kwa mara madai ya kutaka kumrithi baba yake, leo Jenerali huyo ameweka wazi kuwa njia pekee ya kumlipa mama yeke meme aliyomfanyia ni kuwa Rais wa Uganda.

  9. NSSF kuuza mradi wa Dege Eco Village

    Kutokana na sababu tofauti zilizoifanya NSSF ishindwe kuukamilisha mradi huo sasa inawakaribisha wawekezaji wa kimataifa kuuendeleza.

  10. Balozi Kairuki: China haina mpango kufungua vituo vya polisi Tanzania

    Siku chache baada ya baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa kuripoti kuwa China ina mpango wa kufungua vituo vya polisi nchini, Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amekanusha...

Previous

Page 2 of 13

Next