Ongezeko la maji Ziwa Tanganyika, maumivu kwa wananchi Kigoma Ujiji Kwa mujibu wa takwimu za mamlaka ya Bonde la Ziwa Tanganyika, mvua zilizonyesha Mkoa wa Kigoma, kiwango cha maji ziwani kiliongezeka kutoka usawa wa bahari hadi mita 777.17 Aprili mwaka huu...
Wakimbizi wa Burundi washtukiwa kinachowafanya wasirejee kwao Kasulu. Urejeaji wa hiari wa wakimbizi kutoka Burundi wanaoishi katika kambi ya Nyarugusu, wilayani Kasulu Mkoa wa Kigoma, umekumbwa na changamoto, huku wakimbizi hao wakisita kurudi kwao kwa...
Ufadhili wa kilimo-viwanda ulivyobadili maisha ya Ruhigo Kijana Ruhigo Mayala, ameleta mapinduzi ya kilimo katika kijiji chake cha Itebula, wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma.
Kufungwa Ziwa Tanganyika: Wavuvi wasimulia wanayoyapitia Zikiwa zimepita siku 67 tangu kufungwa kwa Ziwa Tanganyika, baadhi ya wavuvi na wafanyabiashara wameeleza machungu wanayopita, huku wakiishauri Serikali kudhibiti uvuvi haramu katika ziwa hilo...
Wananchi wahofia kulipuka volcano Kigoma Kigoma. Mwenyekiti wa Kijiji cha Pamila, Wilaya ya Kigoma, Obedi Tuwazaniwe ameeleza namna tope linalozaniwa kuwa volcano lilivyozua taharuki kwa wakazi wa kijiji hicho, huku mtaalamu wa...
TRA Kigoma yakiri kumtambua mtumishi anayedaiwa kudakwa na meno ya tembo Hata hivyo, kuhus kukamatwa kwake, Shuma amesema na yeye amesikia na kuona taarifa za kukamatwa kwake mitandaoni, lakini taarifa rasmi hana.
Hatua kwa hatua kinachoendelea mgomo wa Kariakoo Mgomo huo unatajwa kuchochewa na kamatakamata inayofanywa na watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na utitiri wa kodi wanazotozwa.
Tume Huru ya Uchaguzi yasogeza mbele uandikishaji wapigakura Kigoma. Maoni ya wadau wa uchaguzi wakiwemo wa vyama vya siasa, yamebadilisha ratiba ya kuanza uboreshaji wa daftari la kudumu la wapigakura kwa kusogezwa mbele hadi Julai 20 – 26, 2024 badala...
‘Msiwe kikwazo wakimbizi kurejea nchini mwao’ Kibondo. Mashirika ya kuhudumia wakimbizi yaliyopo mkoani Kigoma yametakiwa kutokuwa kikwazo kwenye makubaliano yaliyowekwa na serikali za Tanzania, Burundi na Shirika la Umoja wa Mataifa la...
Kliniki inayotembea inavyowasaidia wenye VVU Uvinza Upatikanaji wa huduma za kinga, tiba na matunzo kwa watu wanaoishi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) katika kitongoji cha Tandala, kata ya Uvinza, wilayani Uvinza na maeneo irani, kumetajwa kusaidia...