Ole Sendeka: Kama shida kuwatetea wananchi sitarudi nyuma Asema bunduki mbili za kivita, SMG na AK 47 zilihusika
Ole Sendeka kuzungumza kushambuliwa kwake mchana huu Ole Sendeka na dereva wake Machi 29, 2024 gari lao lilishambuliwa kwa risasi walipofika eneo la Ndaleta wilayani Kiteto akielekea jimboni kwake.
Ole Sendeka atoa kauli kushambuliwa, akumbuka tukio la Tundu Lissu Amesema anamshukuru Mungu amenusurika baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana wilayani Kiteto akienda jimboni kwake.
Gari la Ole Sendeka lashambuliwa kwa risasi Gari la mbunge wa Simanjiro (CCM) mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka, limeshambuliwa kwa risasi akiwamo ndani.
Bendera ya CCM yadaiwa kutumika kusafirisha wahamiaji haramu Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara, John Nzwalile amelaani kitendo cha watuhumiwa wa usafirishaji wahamiaji haramu kutumia bendera ya chama hicho kufanyia...
Sendiga: Tuungane kupinga ukatili wa kijinsia Amesisitiza kuwa ili vitendo hivyo vikomeshwe, kila mtu anapaswa kuwa mstari wa mbele kuvikemea kwa kutoa taarifa ngazi husika anapoona viashiria vya ukatili.
Manyara yapatiwa mbwa wa Polisi Mbwa hao watakuwa na mchango mkubwa katika kuwasaidia askari kuimarisha doria na misako ya Polisi.
Rufaa kesi ya Gekul yapigwa kalenda Ni rufaa ya jinai namba 577 ya mwaka 2024, kuhusu shambulio la kudhuru mwili, linalomhusu Pauline Gekul, akituhumiwa kumfanyia ukatili Hashim Ally.
Vifo vya wajawazito na watoto vyapungua Manyara Idadi ya vifo vya wanawake wajawazito mkoani Manyara, imepungua kutoka wanawake wanane kwa mwaka hadi wawili kwa mwaka kutokana na mafunzo ya elimu ya uzazi na vifaa kwa wajawazito.
Kairuki: Tutafanya mapinduzi ya uhifadhi wanyamapori Waziri Kairuki amesema Serikali imechukua hatua za kuboresha uhifadhi wa wanyamapori kwa kutumia teknolojia na mikakati bunifu.