Search

166 results for Rajabu Athumani :

  1. Wawili kortini wakituhumiwa kumbaka mama na wanawe

    Wakazi wawili wa kata ya Kabuku Ndani, wilaya ya Handeni mkoani Tanga, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Handeni na kusomewa mashtaka matatu ya kubaka kwa kikundi mama na watoto wawili.

  2. Mshtakiwa aomba hukumu yake iahirishwe akidai akili haiko sawa

    Handeni. Mahakama ya Wilaya ya Handeni imeahirisha kuwasomea hukumu washtakiwa wawili wa kesi ya unyang'anyi kwa kutumia silaha, Waziri Mohamedi na mwenzake Mohamed Ndumi baada ya kuieleza...

  3.  Wananchi wataka utatuzi kero ya maji Handeni

    Mkazi wa kata ya Kwediyamba, Fatuma Mwilo amesema eneo hilo lina shida kubwa ya maji, ambapo wananchi wanalazimika kukesha kwenye visima kutafuta maji, hivyo mradi huo ukikamilika utakuwa ni...

  4. Wananchi Muheza mbaroni wakidaiwa kuchoma moto gari la ofisa kilimo

    Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Zainab Abdallah, aunda timu kuchunguza tukio hilo, lililofanana na la mwaka 2016 Iringa, ambapo watafiti walishambuliwa na kuuawa.

  5. PRIME Jinamizi la ajali Mbwewe, kiini hiki hapa

    “Tumechoka kuzika wapendwa wetu,” hii ni kauli ya wananchi wa Kata ya Mbwewe, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakielezea madhila ya ajali za kila mara katika eneo hilo na kutaja sababu tatu kuwa...

  6. Huu hapa ujumbe wa Pasaka wa viongozi wa dini, waamini

    "Yesu ameleta amani, ujumbe wa amani uendelezwe mahali pote ili nchi yetu na ulimwengu kwa ujumla pawe mahali pa amani, ujumbe wa Yesu alipofufuka ni amani kwa watu wote kwa kusema amani iwe nawe.

  7. Watano wasimamishwa kazi tuhuma kifo cha mjamzito aliyewekewa damu isiyo sahihi

    Mkuu wa Wilaya ya Tanga, James Kaji ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi watano wa Kituo cha Afya cha Mikanjuni kwa kutuhumiwa kuhusika na kifo cha mjamzito Fatma Mussa (36) kilichotokea...

  8. Wananchi Handeni walia bei za vyakula zikipaa

    Wananchi wanahofia ongezeko hili la bei na wanatakamamlaka husika zichukue hatua.

  9. Sukari yauzwa kama bangi mtaani

    Sukari sasa imeanza kuuzwa kwa mfumo kama wa biashara haramu katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwa ni siku ya saba tangu Serikali ilipotangaza bei elekezi ya bidhaa hiyo.

  10. CCM Handeni kutowabeba madiwani ‘waliochemsha’

    Mwenyekiti wa UWT Wilaya Handeni, Sophia Masimba amesema UWT ilishatoa maelekezo yake na yale ya chama, lakini wengine hawatekelezi bali wanakwamisha baadhi ya mipango iliyowekwa na chama, jambo...

Previous

Page 2 of 17

Next