Dola yazidi kuwaliza wafanyabiashara Imeelezwa kuwa, upatikanaji wa dola kwa njia halali (benki na maduka ya kubadilishia fedha) ni mgumu, hivyo wafanyabiashara wengi wanalazimika kununua kupitia masoko bubu
Mwanzilishi benki ya Access afariki dunia Katika ajali hiyo iliyotokea juzi, Februari 10, 2024 saa nne usiku, pia imesababisha kifo cha mkewe, mtoto wake wa kiume na watu wengine watatu.
Fahamu magonjwa yaliyomuua Lowassa Dar es Salaam. Miongoni mwa taarifa zilizoibua simanzi mchana wa leo ni kifo cha Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ambaye ameugua kwa takribani miaka miwili. Lowassa amefariki leo Februari...
‘Top 3’ ya wagombea urais 2015 hatunao Kutokana na vifo vya viongozi hao kwa wanaoamini kuwa kila mwanadamu ana siku yake ya kufa ambayo haibadiliki, bila shaka watakubali kuwa kati ya wagombea watatu waliopata kura nyingi wangeweza...
Rais Geingob wa Namibia afariki dunia Geingob aliyeingia madarakani mwaka 2015 anakuwa Rais wa nne kufia madarakani barani Afrika ndani ya kipindi cha miaka mitano
Ulaghai mtandaoni mfupa mgumu, wachumi watoa tahadhari Ripoti ya TCRA ya robo ya nne ya mwaka 2023 iliyotoka mwanzoni mwa wiki hii inaonyesha kuwapo kwa matukio 21,788 ya ulaghai katika kipindi cha miezi 3 (Oktoba, Novemba na Desemba)
TTCL yatajwa ya mwisho ubora wa huduma Ripoti hiyo ambayo hutolewa kila baada ya miezi mitatu, inaonyesha kuwa TTCL ilipimwa kwa matukio 285, Tigo ilipimwa kwa matukio 283 na kupata ufaulu wa asilimia 98.59, ikifuatiwa na Zantel...
Mvua yaharibu mkongo wa mawasiliano Kampuni hiyo imesema mvua hizo zimeharibu njia tatu za mkongo wa mawasiliano, hivyo kubakia na njia moja huku nyingine zikiwa zimesombwa na mafuriko yaliyotokea sehemu tofauti.
Wadau waanika mbinu udhibiti, upatikanaji sukari Tanzania Dar es Salaam . Udhibiti usiokidhi wa mawakala wa kusambaza sukari na kutokuwepo uwiano sahihi wa uzalishaji na mahitaji, ni miongoni mwa vyanzo vya kuadimika na upandaji holela wa bei ya bidhaa hiyo.
Eneo la kiuchumi laanzishwa Kahama kama mbadala wa mgodi wa Buzwagi Mgodi wa Buzwagi ulikuwa wa pili kwa ukubwa nchini, ukiwa umeajiri watu zaidi ya 3,000. Ulifungwa rasmi Julai 2022.