Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Majaliwa awasili Moshi kuhudhuria siku ya amani kimataifa

    Kwa mara ya kwanza, siku ya amani Kimataifa iliadhimishwa Septemba 21 mwaka 1982 baada ya Baraza la Umoja wa Mataifa kutangaza siku hiyo kuwa ndio siku maalumu ya kukumbushana juu ya kuimarisha...

  2. Waziri Mkuu Majaliwa kung’arisha siku ya amani kimataifa

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema kesho Septemba 21 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya amani duniani...

  3. Watatu wafia mikononi mwa Polisi K’njaro, Dodoma

    Matukio ya watu kufa wakiwa mikononi mwa Polisi, yameendelea kushika kasi kufuatia vifo vilivyotokea katika mikoa ya Kilimanjaro na Dodoma hivi karibuni, huku jeshi hilo mkoani Kilimanjaro...

  4. Adaiwa kutumia jina la William Lukuvi kujipatia Sh2.1 milioni

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mtu mmoja (jina limehifadhiwa) akidaiwa kutumia jina la Waziri wa zamani, William Lukuvi kujipatika Sh2.1 milioni kwa kuendesha mafunzo ya...

  5. Kashfa tena polisi raia akidaiwa kufia kituoni

    Jeshi la Polisi limeingia katika kashfa nyingine, baada ya askari wake kutuhumiwa kusababisha kifo cha Ulirki Sabas (47), Mkazi wa Kijiji cha Kirongo chini wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro...

  6. Moto wateketeza mabweni matatu Kilimanjaro

    Moto huo ambao umezuka leo Septemba 14, 2022 umeunguza mabweni matatu ya wasichana ambapo wanafunzi zaidi ya 100 watalazimika kulala madarasani, huku serikali ikiangalia utaratibu wa kukarabati...

  7. Mwanafunzi kidato cha tatu ajiua kwa risasi Moshi, aacha ujumbe

    Robert Meier (17) ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari St Mary Goreti iliyopo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amejiua kwa kujipiga risasi huku akiacha ujumbe...

  8. Sabaya aangua kilio mahakamani, kesi yaahirishwa

    Kesi hiyo namba 2 ya mwaka 2022 imeahirishwa hadi Septemba 26 mwaka huu kwa kutokamilika kwa upelelezi.

  9. VIDEO: Sabaya kortini peke yake leo

    Sabaya ametinga kortini peke yake baada ya wenzake wanne aliokuwa akishitakiwa nao kuachiliwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi Septemba 6, baada ya kukiri makosa na kuhukumiwa na kulipa faini.

  10. ‘Mlinzi wa Mbowe’, wenzake watatu walivyoachiwa huru

    Miongoni mwa washirika wanne wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya walioachiwa huru juzi usiku na Mahakama baada ya kukiri kosa, ni aliyekuwa mlinzi wa Mwenyekiti wa ChademaTaifa,...

Previous

Page 103 of 145

Next