Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. RC Babu awataka wenye ‘guest’ kuorodhesha wageni

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema maandalizi ya sensa mkoani humo yamekamilika kwa asilimia 96, huku akiwataka wamiliki wa nyumba za kulala wageni na kambi za watalii kutoa...

  2. Serikali yawaonya wakuu, wamiliki shule ambazo hazijafungwa

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali itawachukulia hatua wakuu wa shule au wamiliki wa shule binafsi watakaokaidi agizo la kuwaruhusu wanafunzi kwenda...

  3. Wasiofahamika waiba vikombe nyumba ya watawa

    Mtu asiyefahamika ameingia nyumba ya watawa wa Shirika la Veronika lililopo Soweto, wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro na kuiba vikombe vya kuwekea komunyo (siborio).

  4. Jamii yahimizwa kusaidia watoto wanaoishi mazingira magumu

    Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kata ya Bondeni iliyopo Manispaa ya Moshi, John Hamaro wakati akikabidhi misaada mbalimbali ya vyakula na mavazi katika kituo cha...

  5. Bibi kizee wa miaka 100 auawa ugomvi wa ardhi

    Bibi kizee wa miaka 100, mkazi wa Kijiji cha Kirongo Juu, Kata ya Kirongo Samanga, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Felister Epiphan Silayo ameuawa na mwali wake kwa kumpiga na kitu kizito...

  6. Binti aliyefutiwa deni Mloganzila aliwahi kuosha magari kutafuta ada

    Maisha ni safari ndefu, kuna milima na mabonde. Ndivyo unavyoweza kumwelezea Lightness Shirima, ambaye amepitia changamoto nyingi za maisha katika umri mdogo.

  7. Utetezi kesi mauaji ya askari Loliondo walia na upelelezi

    Washtakiwa wa mauaji ya askari askari polisi eneo la Loliondo,wilayani Ngorongoro, wameomba kuharakishwa kwa upelelezi kwa madai kuwa shughuli za maendeleo katika baadhi ya maeneo wilayani humo...

  8. Rais wa mahakama ya Afrika kufanya ziara Mauritania

    Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AFCHPR), Jaji Iman Daud Aboud pamoja na viongozi wengine wa mahakama hiyo watafanya ziara ya siku tatu nchini Mauritania.

  9. Mawakili wa kina Sabaya waibua hoja mahakamani

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne imeahirishwa hadi Agosti 29, 2022 huku upande wa utetezi wakitoa maombi mawili kwa upande wa...

  10. Wahamiaji haramu 47 wahukumiwa mwaka mmoja jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imewahukumu kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Sh500,000 kwa kila mmoja wahamiaji haramu 47 raia wa Ethiopia waliongia nchini kwa njia za panya.

Previous

Page 106 of 145

Next