Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Wahamiaji haramu 47 wafikishwa mahakamani

    Wahamiaji haramu raia wa Ethiopia 47 wamefikishwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.

  2. Sabaya na wenzake wafikishwa tena mahakamani

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa tena katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi leo Agosti 12.

  3. Raia 47 wa Ethiopia wakamatwa tena Kilimanjaro

    Wahamiaji hao haramu 47 raia wa Ethiopia wamekamatwa leo Agosti 11 wakipita njia za panya katika eneo la Mgagao, Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro, wakisema wanaelekea nchi ya Afrika Kusini...

  4. Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila

    Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la matibabu la Sh9 milioni aliloliacha baba yake aliyefariki dunia...

  5. Ma-RC waja na vipaumbele

    Siku chache baada ya kuteuliwa na kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa wakuu wa mikoa, viongozi hao wameanza kuripoti maeneo yao ya kazi huku wakibainisha vipaumbele vyao.

  6. Wananchi KIA ‘wamlilia’ Rais Samia kuingilia kati mgogoro wa eneo

    Wananchi wa vijiji vitano vinavyouzunguka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) wameiomba Serikali kutowaondoa kwenye eneo hilo kwa kuwa ni wazawa wa eneo hilo.

  7. Serikali yaokoa watu 182 usafirishaji haramu wa binadamu

    Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwaokoa watu 182 waliokuwa wamesafirishwa kiharamu ndani na nje ya nchi ndani ya mwaka mmoja huku baadhi yao wakiokolewa kutoka Asia.

  8. Simulizi ya Mtaka kuhamishwa hamishwa

    Asema ni muumini wa kufanya kazi na si kituo cha kufanyia kazi

  9. Sabaya afanyiwa upasuaji, kesi yaahirishwa

    Mawakili wa upande wa utetezi kesi namba mbili ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuwa hali...

  10. Sabaya atinga mahakamani akiwa na bandeji kichwani

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi huku akiwa amefungwa bandeji kichwani.

Previous

Page 107 of 145

Next