Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Familia ya mtoto aliyedaiwa kupigwa risasi hifadhini yaja juu

    Utata umeibuka baada ya familia ya mtoto, Ngatipa Parmao(17) anayedaiwa kuuawa kwa risasi na askari wa wanyamapori wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tnapa) kudai kuna njama zimefanywa kuondoa...

  2. Mifugo 1,450 yakamatwa Siha

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai ameagiza kukamatwa mifugo 1,450 iliyoingizwa kwenye mashamba ya wakulima eneo la West Kilimanjaro, Wilaya ya Siha ambayo imeharibu zaidi ya ekari...

  3. Mauaji ya mtoto ndani ya hifadhi

    Mtoto mwenye umri wa miaka 17 na mkazi wa kijiji cha Pangaroo mkoani Kilimanjaro, Ngatipa Parmao amefariki dunia akidaiwa kupigwa risasi na askari wa wanyamapori katika Hifadhi ya Mkomazi.

  4. Askari mbaroni akituhumia kwa mauaji

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia askari wa wanyamapori kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Ngatipa Parmao (17) kwa madai ya kuswaga mifugo ndani ya Hifadhi ya Mkomazi.

  5. Tacaids kukusanya Sh1 bilioni Kili challenge 2022

    Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) kwa kushirikiana na Kampuni ya Geita Gold Mine Limited (GGM) imesema inatarajia kukusanya Sh500 milioni hadi Sh1 bilioni kupitia kampeni yake ya "Kili...

  6. Masauni awapa agizo makatibu wakuu watatu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amemuagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo kufanya mawasiliano na makatibu wakuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara na Ofisi ya Waziri Mkuu ili...

  7. Mawakili 14 wajitosa kuwatetea watuhumiwa 25 mauaji askari Loliondo

    Jopo la Mawakili wa utetezi 14 limejitokeza kuwatetea washtakiwa 25 wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya askari mmoja katika eneo la Loliondo wilayani Ngorongoro.

  8. RC aagiza halmashauri Same kurejesha Sh400 milioni za mikopo

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Same kuhakikisha madeni zaidi ya Sh400 milioni yanayotokana na mikopo iliyotolewa kwa vikundi vya wanawake ,vijana...

    New Content Item (1)
  9. Vitendo vya unyanyasaji vimemsababishia Marry ulemavu wa kudumu

    Matukio ya ukatili dhidi ya wanawake kwenye jamii ni kama zimwi ambalo limekuwa likiitesa jamii kwa miaka mingi bila kupatiwa mwarobaini, hivyo ndivyo unavyoweza kusema.

  10. RC Kigaigai: Anayetafuta utajiri kupitia uaskari hatufai

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amewataka vijana waliopeleka maombi ya kutaka kujiunga na Jeshi la Magereza mkoani humo kuhakikisha wanakuwa wazalendo na kulitumikia Taifa kwa...

Previous

Page 109 of 145

Next