‘Msiwatoze wananchi fedha wanapokuja kuchukua vitambulisho vya Taifa’
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga amewataka watendaji wa vijiji, mitaa na Kata, kutoka katika Halmashauri ya Mtama na Manispaa ya Lindi kutowatoza wananchi gharama yoyote ya fedha pindi...