Mbunge apigia chapuo zao la Kahawa Hai Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe amewataka wananchi wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kuhakikisha wanalima zao la kahawa huku akijivunia zao hilo kufanya vizuri Kimataifa.
RC Kagaigai atoa maagizo Same Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC), Stephen Kagaigai ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Same kukamilisha vituo vya afya vya Mtii na Miyamba ifikapo mwezi Juni mwaka huu.
RC atoa agizo kwa ofisa elimu Kilimanjaro Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amemwagiza ofisa elimu wa Mkoa huo, kufanya mchakato wa kuipandisha hadhi shule ya Sekondari Kwambegu iliyopo Wilaya ya Same, kuwa na kidato cha Tano...
Viongozi wa dini Kilimanjaro wafurahia Mbowe kuachiwa Viongozi wa dini, Mkoani Kilimanjaro wameipongeza Mahakama pamoja na serikali kwa kumuachia huru kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Freeman Mbowe.
Waumini wachangishana Sh270 milioni ujenzi wa kanisa Waumini wa kanisa Katoliki, Parokia ya Tarakea wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro wamechangishana zaidi ya Sh270 milioni kwa ajili ya ujenzi wa kanisa katika kigango cha Nanjara ili kurahisisha...
Askofu Ruwa'ichi awataka wakatoliki kuiombea Ukraine Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mhashimu Yuda Thadeus Ruwa'ichi, amewataka wakristo wakatoliki nchini wanapoingia katika kipindi cha kwaresma kuungana kwa pamoja kuiomba nchi ya...
Wazazi wacharuka watoto kurudishwa nyumbani kisa michango Wananchi wa Kata ya Tarakea Motamburu, Wilaya ya Rombo Kilimanjaro wamepatwa na sintofahamu baada ya watoto wao kufukuzwa shule kwasababu ya kutokamilisha baadhi ya michango.
TPC yaongeza uzalishaji wa sukari Kiwanda cha sukari Moshi (TPC) kimeongeza uzalishaji wake wa sukari kutoka tani 108,000 zilizokuwa zikizalishwa kwa mwaka hadi kufikia tani 108,800 mwaka huu ikilinganishwa na uzalishaji wake wa...
Maofisa kilimo, wenyeviti wa vijiji wanolewa kukabili nzige wa jangwani Maofisa kilimo, viongozi wa dini, wenyeviti wa vijiji wa Mikoa mitatu ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara wametakiwa kuwatambua aina ya nzige ambao ni waharibifu kwenye maeneo yao na namna ya...
DC Hanang' aagiza wavamizi msitu Gidamulod kuondoka Wavamizi hao wameanzisha mashamba kwenye msitu wa malisho katika Kata ya Dirma Wilaya ya Hanang' mkoani Manyara.