Ofisa wa polisi aeleza sababu ya kujijengea kaburi Patrick Matey Kimaro(59) maarufu Sabasita ambaye ni Mrakibu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania amejijengea kaburi lake mwenyewe akitaka familia yake isihangaike siku ya mazishi yake.
Wadau wa utalii watakiwa kushiriki tamasha la utamaduni Moshi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amewataka wadau wa kampuni za utalii mkoani humo pamoja na wananchi kujitokeza na kushiriki katika tamasha la utamaduni litakalo hudhuriwa na Rais...
Sh600 milioni kujenga sekondari mpya Hai Serikali imetoa Sh600 milioni kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari katika kata ya Mnadani wilayani Hai mkoani Kilimanjaro ili kuwapunguzia adha ya kutembea umbali mrefu wanafunzi...
Mbunge Mafuwe aitaka jamii kutowaficha wenye ulemavu Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe amewataka wazazi wenye watoto wenye ulemavu wilayani humo kutowaficha ndani badala yake wawapeleke shule kwani wana haki ya kupata elimu kama watoto wengine.
DC Hanang' atoa saa 24 wavamizi kuondoka Mkuu wa Wilaya ya Hanang' (DC), Janeth Mayanja amewapa saa 24 watu 31 waliodaiwa kuvamia bwawa la Gawlolo Kata ya Dirma na kuligeuza eneo hilo kuwa shamba kuondoka.
Ng’ombe 5,000 wafa kwa ukame Mwanga Zaidi ya ng’ombe 5,000 wamekufa katika Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro kutokana na kukosekana kwa maji na malisho hali iliyosababishwa na ukame ambao umekumba baadhi ya maeneo mengi hapa nchini.
Dk Shoo azungumzia kujiuzulu kwa Ndugai Askofu mstaafu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk Glorious Shoo amesema kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ni aibu kwa Taifa.
Abiria Moshi wasotea usafiri, nauli juu Shida ya usafiri kutoka mkoa wa Kilimanjaro kwenda Mkoa wa Arusha nyakati za jioni umefanya baadhi ya wasafirishaji kupandisha nauli kutoka Sh2,500 hadi Sh5,000.
Hospitali Rombo kuhudumia watu laki tatu Zaidi ya wananchi 300,000 waliokuwa wakikabiliwa na changamoto ya kutembea umbali mrefu kusaka huduma za afya katika Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wataondokana na adha hiyo mara baada ya...
RPC Kilimanjaro atoa masharti kusherehekea mwaka mpya Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limepiga marufuku upigaji wa fataki na uchomaji wa matairi barabarani wakati wa kusherehekea mwaka mpya