Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Waliopandisha bendera Mlima Kilimanjaro washuka

    Wadau waliopanda Mlima Kilimanjaro kwa siku sita kwa ajili ya kupandisha bendera katika kilele cha mlima huo kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika wamerejea huku 79 kati ya 150 waliopanda...

  2. Waelezea waliyoyaona ndani ya miaka 60 ya Uhuru

    Mbali na sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania kufanyika kitaifa jijini Dar es Salaam leo Desemba 9, watanzania wengine walitumia sherehe hizo kufanya shughuli za kijamii na wengine kutoa...

  3. Auawa kwa fumanizi, muuaji ajisalimisha polisi

    Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufumaniwa akitaka kufanya mapenzi na na mke wa mtu.

  4. Dk Tulia awataka Watanzania kutangaza utalii wa ndani

    Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Tulia Ackson amewataka Watanzania kuwa mstari wa mbele kutangaza utalii wa ndani na sio kuwaachia wageni kuja kuutangaza mlima Kilimanjaro.

    New Content Item (1)
  5. RC Kagaigai awataka Kia kuharakisha uagizaji magari ya zimamoto

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai ameutaka uongozi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa (KIA) kuharakisha uagizwaji wa magari mawili ya kisasa ya zimamoto ili uwanja huo uendelee kuwa na...

  6. Amchoma mtoto sehemu za siri na moto wa sigara

    Jeshi la Polisi mkoani hapa,linamshikilia Apolikarp Mushi kwa tuhuma za kumuunguza sehemu za siri kwa moto wa sigara, mjukuu wake wa kiume pamoja na kumtegua nyonga kwa kutumia kitu kizito.

  7. Hosteli ya kisasa ya wanafunzi yazinduliwa Moshi

    Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka, Profesa Jafary Kideghesho amesema kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa hosteli ya kisasa itasaidia kuondoa changamoto ya malazi pamoja na kuongeza...

  8. Waliovamia vyanzo vya maji Kilimanjaro kuchuliwa hatua

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Stephen Kagaigai amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Moshi,Said Mtanda kuchukua hatua za haraka kuwadhibiti watu waliovamia eneo lenye chanzo cha maji Njoro ,kata ya...

  9. IGP Sirro ataka watuhumiwa watendewe haki

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watuhumiwa wanatakiwa kuheshimiwa na kutendewa haki kama watu wasio na hatia mpaka itakapobainika vinginevyo.

  10. Mzee avamiwa na nyuki, afariki dunia

    Mkazi wa kijiji cha Rau River Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Mathias Mallya (75) amefariki dunia baada kushambuliwa na kundi la nyuki wakati akiwa nyumbani kwake.

Previous

Page 120 of 145

Next