Mnada zao la korosho kuanza Oktoba 21 Katika kujiandaa na mnada wa kwanza wa msimu wa zao la korosho kwa mwaka wa fedha 2023/2024 unaotarajiwa kuanza rasmi Oktoba 21, Chama Kikuu cha Ushirika Lindi, Mwambao kimeandaa mafunzo kwa...
Saba wafariki, 22 wajeruhiwa ajali ya basi ACP Mande ameendelea kusema kuwa kwenye ajali hiyo madereva wa magari yote wamefariki papo hapo, huku akiwataja kwa majina kuwa ni dereva wa basi la Saibaba Lucas John (59), Mkazi wa Arush, na...
RC Lindi aagiza watendaji Amcos kukamatwa Mkuu wa Mkoa waLindi Zainabu Telack, amemwagiza Kaimu Mrajisi wa vyama vya Ushirika Mkoa wa Lindi, Cesilia Sositenes kuwakamata watendaji wa Chama cha msingi cha ushirika (Amcos) cha Mbwemkuru...
Lindi yauza mbaazi za Sh38 bilioni Wakulima wa Zao la mbaazi wakifungua sanduku kwa kuanza kwa mnada.Picha na Bahati Mwatesa
Ma-DC watoa onyo mapigano ya wafugaji, wakulima yaliyoua watatu Vurugu za wakulima na wafugaji zilizotokea Kijiji cha Matekwe, Wilaya ya Nachingwea, Mkoa wa Lindi na Kijiji cha Tinganya, wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma zimesababisha mauaji ya watu watatu.
Samia: Tunajenga bandari ya kwanza ya kisasa tangu uhuru Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Kilwa kuchangamkia fursa za ajira na kufanya uvuvi wa kisasa baada ya Serikali kuanza ujenzi wa bandari ya uvuvi huku akiisifia kuwa ni ya kisasa...
Rais Samia aacha tabasamu Liwale Rais Samia Suluhu Hassani amesema kuwa changamoto zote ambazo zinaikabili Halmashauri ya Liwale anakwenda kuzifanyia kazi na kuwataka wananchi kuchangamkia fursa mbalimbali ambazo zinapatikana...
Watanzania milioni tano kunufaika na bandari Kilwa Wananchi wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi, watanufaika na mradi mkubwa wa bandari ya kisasa ya uvuvi, ambayo inaojengwa katika Halmashauri ya Kilwa, mjini Kilwa Masoko, Mkoa wa Lindi.
Wakulima wachekelea bei ya mbaazi kupaa Kutokana na bei nzuri zinazojitokeza kwenye minada ya mbaazi wakulima wa zao hilo katika Kijiji cha Mtua, Amcos ya Mtua Halmashauri ya Mtama mkoani hapa, wameishukuru Serikali kwa kukubali kuweka...
DC Lindi atoa siku 14 maji kupelekwa shule ya wasichana Kilangala Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga ametoa siku 14 kwa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa), kuhakikisha huduma ya maji safi na salama, inawafikia wanafunzi wa Shule ya...