Waziri Ummy aagiza kamati kuchunguza Sh50 milioni ujenzi zahanati Hai
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu ameagiza kuundwa kwa kamati ndogo ya uchunguzi wa matumizi ya Sh50 milioni zilizotolewa na Serikali...