Mwenyekiti wa kitongoji amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi, naye ajinyonga
Mwenyekiti wa kitongoji cha Urua chini, kijiji cha Mfuruashe wilayani Rombo, Agustine Moshi(35) amemuua mkewe, Anastasia Agustine (31) kwa kumkata kata na kitu chenye ncha kali na kisha mwenyewe...