Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Rombo yakabiliwa na uhaba wa maji

    Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro inakabiliwa na uhaba wa maji baada vyanco vyake 30 vya maji kukauka.

  2. Hospitali ya Hanang' kukarabatiwa na wadau

    Mkuu wa Wilaya ya Hanang' Mkoani Manyara, Janeth Mayanja ameanzisha wiki ya maendeleo wilayani humo kwa lengo la kukusanya michango ya ukarabati wa hospitali ya wilaya hiyo na miradi...

  3. Pombe kali tishio jipya kwa vijana

    Pombe ni biashara na huongeza mapato ya nchi, lakini ushawi wa wananchi wanaozitumia unatakiwa pia kuangaliwa.

  4. Waziri Mkuu Majaliwa kutua Kilimanjaro kwa ziara ya siku mbili

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku mbili mkoani Kilimanjaro, ambapo atazindua na kutembelea miradi mbalimbali pamoja na kuweka jiwe la msingi katika stendi ya mabasi ya...

  5. Adaiwa kumchinja mkewe kwa wivu wa mapenzi

    Mkazi wa Kijiji cha Ngulu Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Mwanaidi Hamisi amefariki dunia baada ya kuchinjwa kwa panga na mumewe, chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi.

  6. Ajali yaua sita, yajeruhi tisa wa familia moja

    Watu sita wa familia moja wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katika ajali baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia, kupinduka na kutumbukia kwenye bonde lenye urefu wa mita 120.

  7. Mume amuua mke kisa wivu wa mapenzi

    Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Ngulu, wilayani Mwanga, Kilimanjaro, Mwanaidi Hamisi amefariki dunia akidaiwa kukatwakatwa na panga sehemu mbalimbali za mwili wake kutokana na wivu wa mapenzi.

  8. Mmoja auawa mkoani Kilimanjaro

    Denis Chuwa (21) mkazi wa kitongoji cha Manjaro kata ya Uru Mashariki wilayani Moshi ameuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kutelekezwa pembezoni mwa barabara ya kuelekea Uru Shimbwe.

  9. Wananchi manispaa ya Moshi waonywa ukataji wa miti

    Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu amewaonya wananchi kukata miti bila kufuata taratibu na watakaobainika kuikata bila kuwa na vibali maalum watakamatwa.

  10. Mbaroni kwa tuhuma za kumchoma moto mtoto wake

    Mkazi wa Mtaa wa Negamsii mjini Babati, Mkoa wa Manyara, Janeth Vicent anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumchoma moto mtoto wake wa kike baada ya kumuomba fedha mpitanjia.

Previous

Page 124 of 145

Next