Trafiki anayetuhumiwa kwa rushwa ya ngono atimuliwa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, limemfukuza kazi askari wake wa kikosi cha usalama barabarani kwa madai ya kujihusisha na rushwa ya ngono.
Polisi wamfukuza trafiki kwa rushwa ya ngono Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limemfukuza kazi askari wake wa kikosi cha usalama barabarani kwa tuhuma ya kuomba rushwa ya ngono.
Wazazi watakaoshindwa kuwapeleka watoto shule kuwekwa ndani Mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Onesmo Buswelu amesema atawaweka rumande wazazi watakaoshindwa kuwapeleka watoto wao shule mpaka kufikia Januari 18, 2021.
RC Mghwira awaundia mkakati walimu wanaocharaza wanafunzi viboko bila utaratibu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema Serikali itachukua hatua kali dhidi ya shule zitakazobainika kuwacharaza viboko wanafunzi kwa lengo la kuwafanya wawe na nidhamu.
Upepo wasomba jiko Shule ya Sekondari Mkwasa, wadau waomba kutoa msaada Zaidi ya wanafunzi 500 wa Shule ya Sekondari Mkwasa wilayani Hai Mkoa wa Kilimanjaro watakosa huduma ya chakula waliyoizoea kutokana na jiko la shule hiyo kusombwa na upepo mkali ulioambatana...
Mabula ayazuia makampuni nane kupima ardhi Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula ameyapiga marufuku makampuni nane yanayojihusisha na upimaji wa ardhi mkoa wa Kilimanjaro baada ya kushindwa kukamilisha...
Trafiki anaswa na Takukuru akiomba rushwa ya ngono Askari wa kikosi cha usalama barabarani, Peter Albert Moshi anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana Rushwa (Takukuru) mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kuomba rushwa ya ngono kwa mama wa mtoto...
Pombe haramu zatajwa kuchochea uhalifu Rombo Wananchi kada mbalimbali wilayani Rombo wakiwemo wasaidizi wa kisheria, madiwan na wananchi wameeleza namna unywaji wa pombe haramu unavyochangia matukio ya kikatili wilayani humo.
Vifo vinne vya ajali vyatikisa Moshi Mwaka Mpya Ni simanzi na majonzi mjini hapa kutokana na vifo vya watu wanne vilivyotokana na ajali siku ya Mwaka Mpya.
Auawa, mwili watelekezwa Mkazi wa Kijiji cha Mrere wilayani hapa, Venance Aloyce (29), ameuawa na mwili kutelekezwa eneo la Korongo Kitovata.