Ofisa Halmashauri mbaroni kwa tuhuma za kutapeli watumishi wa umma
Ofisa ugavi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Dominic Mwapombe amekamatwa kwa agizo la Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akidaiwa kuwa miongoni mwa viongozi wa kampuni moja (jina...