Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

215 results for Emmanuel Msabaha :

  1. Daladala Dar kila muda nauli yake

    Licha ya nauli halali zilizowekwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (Latra), kuna nyakati abiria jijini hapa hulazimika kulipia usafiri mara mbili zaidi kuepuka adha ya kukaa vituoni muda...

  2. Mchizi Mox: kutoka ndoto ya ubaharia hadi muziki

    Kama ilivyo ada, kila mtu huwa na ndoto zake anapokuwa na umri mdogo na huimarika au kubadilika kadiri anavyokua kutokana na mazingira anayoishi. Ivyo hivyo kwa msanii mkongwe wa hip hop Bongo...

  3. KLM kuinufaisha Tanzania

    Tanzania inazidi kunufaika na huduma mbalimbali ndani na nje ya nchi, huku ikitarajiwa kuwa nchi ya kwanza kutoka Afrika, kunufaika na huduma mpya za malazi kwa watumiaji wa usafiri wa anga...

  4. HESLB: Wanafunzi zingatieni mambo haya saba kuomba mkopo

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetaja mambo saba muhimu yanayopaswa kuzingatiwa katika maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2023/2024 kwa waliomaliza kidato cha sita pale...

  5. Tupac kutunukiwa tuzo ya heshima

    Aliyekuwa mwanamuziki nguli wa Hip-Hop unaotambulika kama muziki wa kufoka Marehemu Tupac Shakur maarufu kama 2pac, atatunukiwa nyota ya heshima kwenye ‘Hollywood Walk of Fame,’ siku ya Jumatano...

  6. Serikali yasaini mkataba wa Sh30 bilioni kulinda bahari

    Katika kuhakikisha uchumi wa bluu nchini unazidi kukua, Wizara ya Mifugo na Uvuvi imesaini hati ya makubaliano na Shirika la misadaa la Marekani ‘USAID’, ambapo wamepata kiasi cha Dola 13...

  7. Munkunda awapongeza Benki ya Akiba kwa kutoa elimu ya fedha

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mwanahamisi Munkunda ameipongeza benki ya Akiba kwa kuwa mstari wa mbele kutoa elimu ya fedha kwa vijana, hususan katika nyanja ya kujiwekea akiba, huduma za mikopo...

  8. Lifti yaporomoka Dar, yajeruhi watano

    Lifti iliyopo katika jengo la ghorofa la Millenium ‘Millenium Tower’ Makumbusho, jijini hapa, imeporomoka na kujeruhi watu saba huku chanzo kikitajwa kushindwa kuhimili uzito mkubwa kinyume na...

  9. Benki zaja na mfumo bora wa utoaji huduma kwa njia za kidigitali

    Katika kuhakikisha kuna mifumo yenye ubora inayoendana na mapinduzi ya Sayansi na Teknolojia, Benki ya Standard chartered yaja na mfumo ambao utaboresha utoaji wa huduma za kibenki kwa haraka na...

  10. Wadau: Ukosefu wa fedha mwiba mabadiliko tabia nchi

    Wadau kutoka nchi mbalimbali wanaohusika na masuala ya nishati wamekutana jijini hapa, kujadili ni kwa jinsi gani nishati inaweza kuhama ilipo sasa na inavyotoa suluhisho la matatizo mbalimbali...

Previous

Page 3 of 22

Next