Wananchi wamtaka mbunge kunywa maji ‘machafu’ Wakazi wa mitaa ya Milupwa na Misunkumilo Manispaa ya Mpanda wamelalamikia Changamoto ya ukosefu wa maji ambapo inawalazimu kutumia maji yasiyo safi na salama.
Halmashauri yasitisha usafirishaji mpunga nje Mwenyekiti wa halmashauri hilo, Silasi Ilumba kwaniaba ya madiwani amebainisha hayo kwenye kikao cha robo ya nne cha kujadili utekelezaji wa miradi na mengineyo leo Augosti 2, 2023.
Petroli, dizeli yaadimika Katavi Katika hali isiyokuwa ya kawaida, shughuli mbalimbali za kibiashara na usafirishaji zimesimama katika mji wa Mpanda baada ya mafuta ya dizeli na petrol kuadimika.
Sababu za wananchi wilayani Tanganyika kukimbia urasimishaji ardhi zabainishwa Uelewa mdogo kuhusu umuhimu wa kurasimisha ardhi kwa ajili ya kupata hati za kimila, ni moja ya sababu iliyosababisha baadhi ya wananchi wa kijiji cha vikonge wilayani Tanganyika, kuwakimbia...
Watoto watatu familia moja wafa maji wakivua mtoni Watoto watatu wa familia moja Lucia Lazima (10), Kabisi Lazima (8), na Makala Lazima (6), wakazi wa Kitongoji cha Kayenze B wilayani Mpanda, wamekufa maji wakati wakivua samaki Mto Kamilala.
Aliyefunga ndoa na wake watatu kwa mpigo matatani Athuman Yengayenga aliyefunga ndoa na wake watatu hivi karibuni mjini Mpanda ameingia matatani baada ya kushindwa kukamilisha kandarasi ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa shule ya msingi...
PRIME Simulizi kijana aliyeoa wake watatu kwa mpigo Katavi “Mpaka nafikia hatima ya kuoa wanawake watatu si tamaa. Nilifikiria sana, hapo mwanzo nikiwa na umri wa miaka 18 nilioa mwanamke mmoja alinisumbua sana.”
Watano mbaroni Katavi wakituhumiwa wizi wa vifaa vya kieletroniki Jeshi la polisi mkoani Katavi linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kuiba televisheni 10, redio tatu na kompyuta moja.
Wanne mbaroni tuhuma ya kumteka mtoto Katavi, wakitaka Sh50 milioni ili kumuachia Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kumteka mtoto mdogo wa kike (9) mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Mizengo Pinda Manispaa ya Mpanda...
Wananchi wamvamia mwekezaji mgodini Mgodi wa Kijiji cha Dirif uliopo Manispaa ya Mpanda umesitishwa kutoa huduma na Serikali kutokana na taharuki iliyotokea baina ya wananchi na wasimamizi wa mgodi huo kikundi cha Kagera...