Search

213 results for Bertha Ismail :

  1. Ukinywa dawatiba na huumwi, sasa utaripotiwa

    Ni agizo la Mamlaka ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), linalolenga kunusuru watu na uraibu wa dawa za kulevya

    New Content Item (1)
  2. Watumishi wanne afya wafukuzwa kazi Arusha

    Wengine watatu wamesimamishwa kazi kwa mwaka mmoja kwa makosa mbalimbali, ikiwemo kuomba rushwa na kufanya mzaha kazini.

  3. Mambo matano atakayoanza nayo Mwakatobe AICC

    Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na kuongeza mapato ya taasisi hiyo, kubuni miradi mikubwa ya maendeleo, lakini pia kuboresha maslahi ya wafanyakazi wake na kuboresha huduma za taasisi hiyo za...

  4. Nape aiita sekta binafsi ulinzi anga mtandao

    Inaelezwa kuwa usalama wa anga la mtandao tayari unaonyesha kuwa na faida kwa sekta binafsi kibiashara, lakini pia inaelezwa endapo usalama utasimamiwa kwa kiwango cha juu watu watakuwa na imani...

  5. Viongozi wanaoshinda baa kitanzini

    Waziri wa Nchi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema viongozi wa umma wanaoshinda baa, kulewa hadi kupitiliza, wasiishie kuonywa pekee.

  6. DCEA yawataka madereva kukagua mizigo ya abiria wao

    Imeelezwa kuwa, vita ya dawa za kulevya imekuwa ikihusisha vyombo vya moto kutokana na kutumika kusafirisha.

  7. Miili mitano yatambuliwa ajali iliyoua sita Arusha

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, SACP Justine Masejo amesema ajali hiyo iliyotokea katika mji mdogo wa Ngaramtoni Barabara ya Namanga - Arusha.

  8. Ajali yaua watu watano na kujeruhi 15

    Ajali hiyo imetokea jana Jumamosi March 16, 2024 saa 2:30 usiku ikiwa imepita siku 21 tangu kutokea ajali nyingine iliyohusisha magari matatu Ngaramtoni Februari 24, 2024 na kuua watu 25 na...

  9. PRIME Operesheni ya tozo ya huduma yaibua mapya Arusha

    Ni malalamiko kwa wamiliki wa maduka eneo la Stendi ndogo Arusha wanapewa makadirio makubwa tozo ya huduma inayoambatana na madeni ya miaka ya nyuma yanayoathiri biashara zao.

  10. Kamati ya Bunge yacharuka, yataka makandarasi wazembe wanyimwe miradi

    Mwenyekiti wa Kamati ya PIC, Deus Sangu amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha REA wanasimamia vyema jukumu la kuhakikisha nishati ya umeme inafika katika vijiji vyote 12,318 vya Tanzania Bara...

Previous

Page 4 of 22

Next