Profesa Kabudi aomba reli zote zipite Kilosa Mbunge wa Kilosa (CCM) Profesa Palamagamba Kabudi ameiomba Serikali kuifufua reli kutoka Kilosa hadi Kidatu kwa kuifanyia ukarabati ili iweze kutoa huduma.
Kilio cha wananchi Ulyankulu bado mfupa mgumu Dodoma. Serikali imetoa sababu za kwa nini haifanyi uchaguzi wa udiwani katika kata tatu za jimbo la Ulyankulu mkoani Tabora. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Dk Festo Dugange amezitaja...
PRIME Bima kwa wote ilivyopita kwenye tanuru la moto Licha ya kupitishwa na Bunge, Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote wa mwaka 2022 umepita katika tanuri la moto kutokana na baadhi ya wabunge na Spika wa Bunge hilo, Dk Tulia Ackson kuonyesha shaka...
Ole Sendeka alipuka bungeni akitaka ‘shingo ya mtu’ Mbunge wa Simanjiro (CCM), Christopher Ole Sendeka amewataka mawaziri ambao wizara na taasisi zilizo chini yao zimetajwa katika ubadhirifu, wawajibike wenyewe.
Serikali mbioni kuirejesha Ligi ya Muungano Serikali iko mbioni kurudisha Ligi ya Muungano lakini imetoa sababu ya kukosa ufadhili kwamba limekuwa ni tatizo.
Vipodozi, vinywaji vikali, kulipia bima ya afya Hatimaye Serikali imeuwasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa watu wote wa mwaka 2022 ikiainisha vyanzo mbalimbali vya mapato vitakavyogharamia watu wasiojiweza vikiwemo vya...
Muswada bima ya afya kwa wote watua bungeni Waziri Ummy amesema sheria hiyo inakwenda kuondoa malalamiko ikiwemo uzuiaji wa miili ya watu katika hospitali kwa madai ya gharama za matibabu walipokuwa awagonjwa.
Serikali yaomba Bunge kupitisha mkataba, yatilia shaka Kamati ya Bunge imeomba ibara ya 26 na 26(4) zifanyiwe marekebisho kwa kuwa zikiachwa kama zilivyo zitakuwa na shida.
Zahanati mbili zasaidia wanawake 600 kujifungua kwa mwezi Zahanati hizo zipo katika mikoa ya Geita na Tabora ambazo hata hivyo zinatajwa kuwa majengo yake yamechoka na zinahitaji marekebisho.
Bunge laahirishwa kwa muda, chanzo hitilafu ya vipaza sauti Bunge limeahirishwa kwa dakika 15 ili kupisha ukaguzi wa mitambo iliyopelekea hitilafu ya vipaza sauti.