Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

330 results for Lilian Lucas :

  1. Vijana 500 Malinyi kuondokana na hali ya utegemezi

    Malinyi. Vijana zaidi ya 500 wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro wanatarajia kuondokana na hali ya utegemezi baada ya kujengewa uwezo katika stadi mbalimbali ikiwemo za ufundi...

  2. Vijana 10,000 waliopata mimba za utotoni, shuleni kupewa mafunzo

    Vijana 1,600 kutoka halmashauri sita za Mkoa wa Morogoro kushiriki bonanza la ujuzi lenye nia ya kuwajengea uwezo katika ufundi stadi pamoja na kilimo huku vijana 10,000 wengine kufikiwa mwakani.

  3. PRIME Kivumbi uchaguzi chaibua wadau

    Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akisema mwakani kutakuwa na kivumbi cha uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa, wanasiasa na wananchi wa kada mbalimbali wamesema ili kiwe kivumbi cha kweli ni...

  4. Mganga wa jadi jela miaka 7 kuua bila kukusudia

    Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kifungo cha miaka saba jela, Jumanne Ngasa (28) baada ya kumkuta na hatia ya kumuua bila kukusudia Christina John, mkazi wa Mafisa mkoani hapa.

  5. Kilombero, Ulanga kupata umeme wa uhakika

    Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), umekamilisha mradi wa ujenzi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Ifakara (Ifakara Substation), huku ukiwahakikishia wakazi wa wilaya za Kilombero...

  6. Waziri Mchengerwa aagiza TFS kuongeza kasi upandaji miti

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ameagiza wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) kuongeza kwa kasi upandaji wa miti, kutengeneza mashamba mapya na kuyalinda ya mashamba ya...

  7. Serikali kuzialika nchi za Afrika Mashariki maonyesho Nanenane

    Morogoro. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, David Silinde amesema serikali inatarajia kukuza wigo wa maonyesho yajayo ya kilimo, mifugo na uvuvi kwa kuzialika nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki...

  8. ICRAF na mfumo wa uzalishaji kwa kutumia nishati kilimo

    Morogoro. Mwakilishi mkazi wa Shirika la Kilimo Misitu Duniani (ICRAF) Tanzania, Dk Antony Kimaro amesema mfumo wa uzalishaji mazao kwa kutumia njia ya nishati na kilimo inapoungana kwa pamoja...

  9. RC Malima atoa maagizo kwa kiwanda cha sukari Mkulazi

    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima ameuagiza uongozi wa Kiwanda cha Sukari cha Mkulazi mkoani huyo kutoa elimu kwa wakulima wa zao la miwa ili kuongeza uzalishaji na malighafi ya kutosha...

  10. Mfumo mpya kukagua uzito wa magari Mikumi, Mikese wafikia asilimia 80

    Morogoro. Mfumo mpya wa kukagua uzito wa magari yakiwa kwenye mwendo katika mizani ya Mikumi na Mikese mkoani Morogoro umefikia asilimia 80 ambapo Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) umeeleza...

Previous

Page 4 of 33

Next