Search

286 results for Robert Kakwesi :

  1. Baba mbaroni kwa kufanya mapenzi, kumpa ujauzito binti yake

    Hamis Said (37), mkazi wa Mtaa wa Nkokoto mjini Igunga anashikiliwa na polisi kwa mahojiano kuhusu tuhuma za kufanya mapenzi na kumpa ujauzito binti yake mwenye umri wa miaka 16.

  2. TTB yawatoa hofu wakulima wanaodai makampuni ya ununuzi tumbaku

    Mkoa wa Tabora ndio unaoongoza kwa kuzalisha tumbaku nyingi nchini ambao unazalisha asilimia 60 ikiwa ni zao kuu la biashara na tegemeo kiuchumi.

  3. 26 mbaroni wakidaiwa kuchoma moto kituo cha polisi

    Septemba 18 mwaka huu, wananchi wa Kitunda wilayani Sikonge walichoma kituo kidogo cha Polisi kwa kinachodaiwa kukasirishwa baada ya mchimbaji wa madini wa eneo hilo kuumia mguu wakati akizozana...

  4. Watoto 22, 000 waondolewa kwenye utumikishwaji

    Watoto zaidi ya 22,000 wenye miaka kati ya mitano hadi 17 wameondolewa kwenye kazi za utumikishwaji zikiwemo za mashamba ya tumbaku katika halmashauri tano za Chunya, Songwe, Kaliua, Urambo na...

  5. Wataalamu washauri wenza kupima sikoseli kabla ya ndoa

    Mkoa wa Tabora ni wa nne kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa wa sikoseli ukitanguliwa na mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza na Kigoma.

  6. Wagonjwa 90, 000 wahitaji huduma za kibingwa

    Zaidi ya wagonjwa 210,000 wamepata huduma ya matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Nkinga huku wagonjwa zaidi ya 90,000 wakihitaji huduma za kibingwa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

  7. Jela maisha kwa kulawiti wanafunzi wawili

    Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora imemuhukumu kifungo cha maisha jela Daud Masanja kwa kosa la kulawiti wanafunzi wawili wa shule ya msingi.

  8. Nyara za Serikali zakamatwa hifadhi ya Isawima

    Watu wanaodhaniwa kuwa ni majangili wametupa nyara za Serikali ikiwemo ngozi ya Chui, Swala na Statunga wakati wakikikimbia kukwepa mkono wa sheria.

  9. Wanafunzi 5, 000 kunufaika shule shikizi zikisajiliwa Tabora

    Wanafunzi 5,000 kati ya wanafunzi 10,000 wanaosoma shule shikizi wilayani Kaliua wanatarajia kunufaika baada ya shule hizo 10 kusajiliwa na kuwa rasmi ifikapo Januari,2024

  10. Waondolewa adha ya kutembea kilomita 20 kutafuta maji

    Wakazi zaidi ya 5,000 wa kijiji cha Mwalala kata ya Nguvumoja wilayani Igunga wameondokana na adha ya kufuata maji umbali wa kilomita 20 kwenda na kurudi bwawa la Mwanzugi.

Previous

Page 4 of 29

Next