Search

308 results for Saada Amir :

  1. Mgogoro watishia uhai wa wafugaji, watumishi

    Vitendo vya wafugaji kuvamia na kulisha mifugo ndani ya shamba la Serikali Mabuki, vimezua uvunjifu wa amani baada ya kuibuka mapambano kati ya wavamizi na wafanyakazi wa shamba hilo.

  2.  Waziri Gwajima ataja dawa ya ukatili wa kijinsia kwenye familia

    Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Jinsia na Wanawake, Juliana Kibonde amewataka waratibu hao kuhakikisha kunakuwa na mrengo wa kijinsia katika miradi, afua na masuala ya uongozi kwenye maeneo...

  3. Wavuvi ‘watema nyongo’ ziwa kufungwa, wagusia uvuvi haramu

    Ziwa Tanganyika lina ukubwa wa kilometa za mraba 32,900 huku Tanzania ikimiliki kilometa za mraba 13, 489, sawa na asilimia 41 ya ziwa lote. Takwimu za Wizara ya Mifugo na Uvuvi zinaonyesha...

  4. Mradi mpya wa maji Mwanza wafikia asilimia 99

    Mradi huo ulioanza kutekelezwa Februari, 2021 na ulipaswa kukamilika Oktoba, 2023 kukamilika kwake kunatajwa kutapunguza tatizo la uhaba wa maji.

  5. Vijana waliojitosa BBT kuondoka na mtaji Sh10 milioni

    Profesa Mushi amesema licha ya kila mnufaika kuondoka na Sh10 milioni zitakazokuwa mitaji wao wa biashara, pia amesema Serikali itawadhamini kwenye benki kupitia mfuko wa dhamana ya mikopo na...

  6. Serikali kujenga ‘hospitali’ inayotembea ndani ya Ziwa Victoria

    Miongoni mwa ajali zilizowahi kutokea kwa upande wa Tanzania ni ya meli ya MV Bukoba iliyotokea Mei 21, 1996 na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 800 na ajali ya kivuko cha MV Nyerere...

  7. Uvuvi haramu, tozo na mabadiliko ya soko vyavuruga uchumi wa samaki

    Baadhi ya wavuvi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa wametaja uvuvi haramu, mrundikano wa tozo na matumizi ya taa za betri kuwa ni chanzo cha upungufu wa samaki unaosababisha mauzo yake kushuka...

  8. PRIME Madai polisi kugeuza baa kitega uchumi

    Sakata la askari wawili wa Jeshi la Polisi wa Kituo cha Mabatini, Dar es Salaam kukishikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mlinzi wa baa maarufu jijini humo ya Board Room iliyopo Sinza, Razak Azan...

  9. Trafiki watakiwa kuzidisha tochi kuzuia ajali barabarani

    Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amelitaka Jeshi la Polisi nchini kitengo cha usalama barabarani kuzidisha tochi ili kudhibiti ajali za barabarani zinazoonekana kushika kasi hivi karibuni.

  10. Wadau usalama barabarani Ukanda wa Afrika wafundwa jijini Mwanza

    Wadau wa usalama barabarani kutoka Ukanda wa Afrika wamekutana jijini Mwanza kufundwa na kujadili masuala ya usalama katika sekta ya usafiri na usafirishaji ili kukabiliana na ajali za barabarani.

Previous

Page 4 of 31

Next