Sakata la Kichuya doa jingine TFF Baada ya kuamuriwa kulipa Sh294,348,662 na Kitengo cha Usululishi cha Migogoro cha Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (Fifa) kwa kukiuka taratibu za usajili wa winga Shiza Kichuya, uongozi...
Vita dhidi ya Covid-19: Kwanini lazima Tanzania iungane kudhibiti maambukizi ya corona Siku 17 baada ya Waziri Ummy Mwalimu kutangaza kuwa kila mtu anayeishi Tanzania achukue tahadhari dhidi ya virusi vya corona, mtu wa kwanza mwenye maambukizi aligundulika Machi 16.
Kisa namba! Manula, Kakolanya wazua jambo Simba SC Ushindani wa namba wa makipa wa Simba, Aishi Manula na Beno Kakolanya uanza kuibui minong’ono kuhusu nani anayestahili kuanza katika kikosi cha kwanza.
Angetile atajwa mkandarasi wa soka wa Kichina KATIBU wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah ametajwa kama mkandarasi wa soka wa Kichina kutokana na kazi aliyoifanya kwenye uongozi wake.
Mkude, Gadiel waibua mjadala Sakata la wachezaji wa Simba Jonas Mkude, Erasto Nyoni na Gadiel Michael kuitwa timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ licha ya kuondolewa ndani ya klabu yao kwa utovu wa nidhamu, limeibua mjadala.
Mbunge ashauri ongezeko kodi wachezaji wa kigeni Wakati wanasoka wa kigeni wanaocheza ligi mbalimbali duniani wakibanwa na makato ya kodi kwenye mishahara na fedha wanazoingiza, hali imekuwa tofauti kwa wanaoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.
Katibu TFF aishauri Yanga Katibu mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka (TFF), Angetile Osiah amelishauri Baraza la Wadhamini la Yanga kutopuuza taratibu za kikatiba wakati huu wanapojaribu kumaliza mgogoro wa...
Kiwango cha Serengeti Boys chashtua, wapigwa 5-0 Kiwango kilichoonyeshwa na timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys kwenye michuano ya Uefa Assist, kimeshtua mashabiki wa soka ikiwa ni mwenyeji wa Fainali za Afcon...
VIDEO-Mkurugenzi wa MCL, Naibu Spika wang’ara Mbeya Tulia Marathon Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Francis Nanai na Naibu Spika Ackson Tulia wamemaliza mbio za Mbeya Tulia Marathoni katika kundi la kwanza kwenye mbio za kilomita 5.
Kamati, hukumu doa Ligi Kuu Bara Dar es Salaam. Achana na Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu juzi wakiwatimulia vumbi mahasimu wao, Simba na kuwaacha na sintofahamu, habari mpya ni namna mabosi wa zamani wa mpira walivyoichambua Ligi...