Fyatu Mfyatuzi: Msituletee udini na ujinsia kwenye siasa
Sina ajenda wala sababu, sifa na tabia za kusifia bali kufyatua kwa haki bila upendeleo wala uonevu. Hivyo, haya niyafyatuayo yanalenga kuelimisha tena bure. Nasisitiza, msinifananishe na chawa...