Madawati 120 yadaiwa kutengenezwa chini ya kiwango Madawati 120 yalitengenezwa mwaka 2022 kwa gharama ya zaidi ya Sh9 milioni kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari Manghu Wilaya ya Shinyanga yanadaiwa kutengenzezwa chini ya kiwango.
Chadema yawasimamisha vigogo wake Shinyanga Vigogo hao wa Chadema Mkoa wa Shinyanga wamesimamishwa uongozi kwa muda wa mwaka mmoja kuanzia Aprili 30, 2023 kwa tuhumza za utovu wa nidhamu ambazo hata hivyo hazijafafanuliwa katika taarifa...
Mbaroni kwa kumchoma mikono mtoto wake kisa kula wali bila ruhusa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Grace Godwin (23) Mkazi wa Mtaa wa Sido Kata ya Ibinzamata Manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kumchoma moto mikono yote miwili mtoto wake kwa...
Kampuni binafsi za ulinzi zabainika kumiliki silaha kinyemela Kampuni tano binafsi za ulinzi Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga zimebainika kumiliki bunduki na risasi kinyume cha sheria.
Sh104 milioni yawahakikishia huduma ya afya watu 19, 000 Uzinduzi wa mradi huo wa ujenzi wa Zahanati ulikuwa ni miongoni mwa shughuli za maendeleo na kijamii zilizotekelezwa na viongozi wa Serikali mkoani Shinyanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya...
Zaidi ya wananchi 19, 300 wajengewa zahanati Shinyanga Serikali imejenga zahanati iliyogharimu zaidi ya Sh104 milioni katika Kata ya Masekelo Manispaa ya Shinyanga itakayohudumia zaidi ya wananchi 19,333
Mkoa wa Shinyanga umejipanga kupanda miti milioni tisa Mkoa wa Shinyanga unatekeleza kampeni ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kupanda zaidi ya miti milioni tisa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo.
Wasabato wafuturisha waumini wa Kiislamu kudhihirisha upendo Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Jimbo la Nyanza wamewafuturisha waumini wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Shinyanga kama ishara ya mahusiano mema na ushirikiano kati ya waumini wa dini na...
Waathirika tope la mgodi walipwa fidia Sh1.8 bilioni Watu 294 kati ya 304 walioathiriwa na matope baada ya bwawa la matope la Mgodi wa Almasi wa Williamson Diamond eneo la Mwadui wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga kupasuka wamelipwa fidia.
Ashambuliwa hadi kufa akituhumiwa kuiba mahindi Watu wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti yaliyotokea mkoani Shinyanga hivi karibuni, likiwemo la mwanaume aliyeshambuliwa hadi kufa akidaiwa kuiba mahindi mabichi shambani.