Jamii yahamasishwa kuchangia damu Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania (NBTS) umezindua kampeni ya kitaifa ya kuihamasisha jamii kuchangia damu huku ikilenga kukusanya chupa za damu 15,514
ACT Wazalendo yavuna wanachama kutoka Chadema Uongozi wote wa Chadema Kata ya Dondo, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, wamejiondoa kwenye chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo.
Kipindi cha Royal Tour chavutia mawakala wa utalii Kipindi maarufu cha Royal Tour kinachotangaza utalii, biashara na uwekezaji alichofanya Rais Samia Suluhu Hassan kimewavutia mawakala wa utalii zaidi ya 30 kutoka nchini Marekani, Ufaransa na...
Jinsi ya kuishi na pumu ya ngozi bila madhara Ugonjwa wa pumu ya ngozi ni wa kurithi na wataalamu wa afya wanasema mtu anaweza kuishi nao kwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu bila ya kumletea madhara yoyote katika ngozi yake.
Askari Magereza atuhumiwa kubaka, kulawiti Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linamshikilia Askari Magereza Said Hassan (26) mkazi wa Ukonga jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msichana awenye umri wa miaka (29) jina lake...
Uvaaji nguo za ndani zikiwa mbichi na athari zake “Kuvaa nguo ya ndani ambayo ni mbichi kunatengeneza fangasi ukeni, fangasi inaathari kubwa ikiwemo ya kula hadi mfumo wa uzazi, hivyo upo uwekezano mkubwa hasa kwa mwanamke kupata tatizo la uzazi.”
Wanawake watakiwa kuwekeza katika nishati ya umeme Wanawake nchini wametakiwa kujiamini na kujitokeza kwa wingi kuwekeza katika sekta ya nishati ya umeme ili iweze kuendelea kutoa mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa nchi.
Wadau waliomba Bunge kupitisha Muswada wa Haki za Kidigitali Wadau kutoka asasi za kiraia, wasomi, wanasheria na waandishi wa habari wameliomba Bunge kupitisha Muswada wa Haki za Kidigitali unaolenga kuwalinda watumiaji wa mitandao wakiwemo watoto pindi...
Nyamhokya ataka umoja kutatua changamoto za wafanyakazi Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya amewataka viongozi wa vyama vya wafanyakazi ngazi ya mkoa na Taifa kuwa wamoja na kukaa pamoja ili kutatua changamoto...
Wadau waikumbusha Serikali kuifanyia marekebisho sheria ya ndoa Watetezi wa haki za watoto wameitaka Serikali kuifanyia marekebisho sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inayoruhusu mtoto chini ya miaka 18 kuolewa kwa ridhaa ya mzazi kama ilivyoamuliwa na Mahakama ya...