Askofu ataja siri nyuma ya kusifia viongozi, ataka wahusika washtuke Awataka viongozi wanaoteuliwa kuwa makini nao kwa kuwa wanaficha udhaifu.
Afariki kwa kupigwa risasi na ‘majambazi’ Inaelezwa kuwa mtu huyo alishambuliwa na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi, alipokuwa akiingia nyumbani kwake jioni.
Polisi Shinyanga wakamata silaha, vifaa vya wizi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi, amesema vifaa hivyo wamevikamata wakati wakifanya msako wa kipindi cha Novemba 22 hadi Desemba 12 mwaka huu.
Mama, wanawe wawili wateketea kwa moto Shinyanga Watu watatu wamefariki dunia wakiwa ndani ya nyuma baada ya kuungua moto usiku wa kuamkia leo Jumatano, Novemba 30, 2022 wilayani Kahama mkoani Shinyaga wakati wakiwa wamelala nyumbani kwao huku...
Watoto watatu waliofariki kwa ajali ya moto waagwa Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema ameongoza jopo la wananchi kuaga miili ya watoto watatu waliofariki juzi kwa ajali ya moto usiku katika shule ya msingi Buhangija katika manispaa ya...
Watoto watatu waliofariki kwa ajali ya moto waagwa Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema ameongoza jopo la wananchi kuaga miili ya watoto watatu waliofariki juzi kwa ajali ya moto usiku katika shule ya msingi Buhangija katika manispaa ya...
Walioathirika majitope ya mgodi wa almasi watulizwa Mbunge wa Kishapu Boniphace Butondo, amewataka wananchi walioathirika na maji tope kuwa na utulivu na imani kwamba mgodi wa Williamson Diaond Ltd (WDL) utaendelea kuwapa zote zinazotakiwa...
Utata uchunguzi majitope Mwadui Wadau na wabobezi kwenye sekta ya madini wameshauri iundwe timu huru ya uchunguzi kujiridhisha na athari ya majitope yanayotiririka kwenye vijiji baada ya bwawa la mgodi wa almasi wa Williamson...
Matokeo uchunguzi tope, majitaka bwawa Mwadui hadharani Meneja ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Ziwa Mwanza, Musa Kuzumila amesema wamefanya upimaji wa maji na tope la bwawa la Mgodi wa Almasi wa Williamson Diamond Ltd (WDL) na kubaini kuwa...
Wasiwasi majitaka ya mgodini yakisambaa katika makazi ya watu Wakati Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) likiendelea kuzuia majitaka yenye tope yanayotoka katika mgodi wa Williamson Diamond kuingia kwenye makazi ya watu, wataalamu...