Maji yaweka rehani kibarua cha makamu wa Rais Watendaji wa Wizara ya Maji wametakiwa kutimiza wajibu wao ikiwamo kuwasimamia makandarasi na wataalamu wanaotekeleza mradi wa maji wa Same – Mwanga - Korogwe
Halmashauri Same yapewa miezi sita kuboresha masoko DC Same asema mazingira bora yataongeza ukusanyaji mapato.
Wadau walia na adhabu ya viboko shuleni Wasema matumizi ya viboko shuleni hayajengi urafiki baina ya mwalimu na mwanafunzi badala yake yanaandaa jamii ambayo itakuwa na kisasi.
Mazishi mwanafunzi anayedaiwa kufa kwa kipigo yashindikana Hata hivyo, licha ya maandalizi kufanyika ikiwemo kuchimbwa kaburi na watu kukusanyika hadi leo jioni, maziko hayo hayakufanyika.
PRIME VIDEO: Mama afunguka sakata mwanafunzi aliyedaiwa kufa kwa kipigo Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, limekabidhi kwa familia mwili wa Jonathan Makanyaga (6), mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Mrupanga, anayedaiwa kufa kutokana na kipigo...
Ndejembi aonya matumizi mabaya ya Sh800 milioni za hospitali Ametaka fedha zilizotolewa na Serikali zaidi ya Sh800 milioni kwa ajili ya ujenzi wa majengo manne yanayojengwa katika hospitali ya wilaya hiyo, zinatumika ipasavyo.
Ofisa kilimo apandishwa kizimbani akidaiwa kumjeruhi mfanyakazi wa ndani Moshi Msichana huyo, ambaye ni mwenyeji wa Nyakanazi, Wilaya ya Buharamulo, Mkoa wa Kagera, anaendelea na matibabu ya kutibu majeraha aliyoyapata katika Hospitali ya Faraja
Polisi washikilia walimu 5 kifo cha mwanafunzi Jeshi la Polisi linawashikilia na kuwahoji walimu watano tarajali wa mafunzo ya ualimu (BTP) wanaofundisha katika Shule ya Msingi Mrupanga mkoani Kilimanjaro, kwa madai ya kuhusika na kifo cha...
DC aagiza doria za usiku stendi ya Same kisa kondomu DC Mgeni amesema atahakikisha wazazi wote ambao hawawajibiki kwa watoto wao wanachukuliwa hatua za kisheria.
Wanafunzi mazingira magumu wasaidiwa taulo za kike Ni wanafunzi wa kike zaidi ya 1, 440 wanaotoka katika mazingira magumu katika jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro.