Mwanafunzi aliyepotea Arusha akutwa akiuza baa Alipotafutwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo kuhusiana na tukio la kutoweka kwa mwanafunzi huyo alisema apewe muda anafuatilia tukio hilo na kwamba atalitolea taarifa baadaye.
PRIME Mitazamo tofauti mkataba uwekezaji bandari Miongoni mwa waalikwa alikuwepo Katibu Mkuu wa TEC, Padri Charles Kitima na Rais wa TEC, Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga ambao walishuhudia utiaji saini huo.
Udom kama Ufaransa kunguni tishio Suala kama hilo limejitokeza pia nchini Ufaransa ambapo Serikali imelazimika kufunga shule ili kukabiliana na changamoto hiyo.
DC Same ataka makandarasi kutumia vibarua wazawa Mkuu huyo wa wilaya ametoa maagizo hayo wakati alipotembelea miradi mbalimbali ya matengenezo ya barabara inayotekelezwa katika jimbo la Same Mashariki yenye urefu wa kilomita 47 yenye thamani ya...
Mganga Mkuu Moshi akutwa amekufa ‘gesti’ Mganga Mkuu wa Wilaya ya Moshi (DMO) mkoani Kilimanjaro, Dk Alex Kazula amekutwa amefariki dunia kwenye nyumba ya kulala wageni 'gesti' huku kifo chake kikigubikwa na utata.
Kilio miundombinu mibovu soko la kimataifa Holili Wafanyabiashara wa nafaka katika soko la Kimataifa la Holili, ambalo lipo mpakani mwa Kenya na Tanzania, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameiomba Serikali kuwaboreshea miundombinu ya soko...
Uchakavu choo cha mwaka 62 chawaibua wadau Uchakavu wa matundu ya vyoo Shule ya Msingi Wereni, Kijiji cha Umbwe Sinde, wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro iliyojengwa miaka 62 iliyopita, wamefanya waliowahi kusoma hapo, kumalizia ujenzi...
KADCO yatoa sababu taa za uwanja wa ndege kushindwa kufanya kazi Hitilafu ya taa iliyojitokeza jana katika taa za kuongozea ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kusababisha ndege kushindwa kutua na kuondoka kwa saa kadhaa katika...
Mtoto aliyechomwa moto na mama yake afariki dunia Mtoto Shamsudini Jamadu Msemo (13), aliyemwagiwa mafuta ya taa na kisha kuchomwa kiberiti na mama yake mzazi, amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) alikokuwa...
Mlinzi adaiwa kuua mwananchi kwa risasi Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mlinzi wa Hospitali ya Challote inayomilikiwa na Masista wa kanisa Katoliki Wilaya ya Siha kwa madai ya kumuua kwa risasi mkazi wa Kitongoji cha...