Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1440 results for Janeth Joseph :

  1. Serikali kugharamia msiba watu 10 waliofariki ajalini Kilimanjaro

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema Serikali mkoani humo, itabeba msiba wa watu 10; waliopoteza maisha katika eneo la Dachikona, Kijiji cha Wiri, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.

  2. 10 wapoteza maisha kwa ajali wilayani Siha

    Watu 10 wamefariki dunia baada ya gari aina ya Kirikuu kugongana uso kwa uso na gari la polisi katika eneo la Dachikona, katika Kijiji cha Wiri, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.

  3. Waandishi washambuliwa kwa mikuki, mishale Ngorongoro

    MASAHIHISHO: Tumelazimika kuondoa taarifa iliyokuwa hapa kuhusu tukio la waandishi wa habari kuvamiwa Ngorongoro baada ya kubaini kasoro za kimaadili, ikiwemo nia ya mwandishi, vyanzo...

  4. PRIME Asimulia namna fisi alivyomletea ulemavu

    Msemo kwamba hujafa hujaumbika, unaweza kufaa kuelezea masaibu yaliyomkuta Rose Kapande (50), mkazi wa Kijiji cha Esapai, Wilaya ya Ngorongoro baada ya kupoteza mikono na kujeruhiwa sehemu ya uso...

  5. PRIME Ripoti Maalumu: Maduka ya mangi yaliyogeuka ‘baa bubu’, chanzo cha upotevu mapato serikalini

    Ni jambo la kawaida kuwapo kwa maduka yauzayo bidhaa mbalimbali mitaani maarufu kama ‘Kwa Mangi’ katika maeneo mbalimbali nchini, uchunguzi wa Mwananchi Digital umebaini mengi ya maduka haya...

  6. Waishukuru Serikali kwa kuruhusiwa kuhamia Engaruka

    Wananchi ambao ni wa jamii ya kifugaji ya kimasai wanaoishi ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, katika Kijiji cha Aldarpoi mkoani Arusha wameishukuru Serikali kwa kuwaruhusu kuhama kwa hiari...

  7. Waomba Serikali iharakishe kuwahamisha Ngorongoro

    Wananchi wanaoishi ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, katika Kijiji cha Irkipusi, Kata ya Nainokanoka, Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha wameiomba Serikali kuharakisha mchakato wa kuondoka...

  8. Serikali yatoa Sh582 milioni ujenzi wa shule mpya ya Sayansi Holili

    Serikali imetoa zaidi ya Sh582 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya Sekondari itakayofundisha masomo ya Sayansi katika Kata ya Holili, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro ikiwa ni kuhamasisha...

  9. Polisi wamsaka mwalimu anayedaiwa kumuua mwanafunzi

    dunia, alitoroka shuleni hapo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa alithibitisha kutokea kwa tukio hilo Julai 17, mwaka huu ambapo alisema baada ya mwalimu huyo kutoa adhabu...

  10. Askari Mkomazi auawa na nyati

    Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamishna Msaidizi Hifadhi ya Mkomazi, Emmanuel Moirana amesema tukio hilo limetokea leo Jumanne Agosti Mosi, 2023 wakati askari huyo akitekeleza majukumu yake.

Previous

Page 82 of 144

Next