Kibano cha Waziri Aweso kwa mkandarasi Akizungumza jana Ijumaa Januari 26, 2024 Waziri Aweso amesema kuwa hadi ifikapo Februari 26, mradi huo uwe umeshakamilika ili wananchi wapate maji.
Aweso agawa pikipiki zilizofungiwa stoo miaka mitatu Aidha Meneja wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa), Muhibu Lubasa amesema kuwa pikipiki hizo 22 ni kwa ajili ya watumia maji wilaya zote.
Wimbi lasababisha kifo cha mvuvi baharini Kamanda Mwasabije amesema mvuvi huyo alikuwa anaenda kufuata chombo chake cha uvuvi kwenye maji, ndipo mawimbi makubwa yakamzamisha akashindwa kuibuka.
Watatu wafariki gari dogo likigongana na lori Chanzo cha ajali hiyo ni kimeelezwa kuwa ni uzembe wa dereva wa gari aina ya Toyota Hillux aliyehama upande wake wa kushoto bila kuchukua tahadhari.
Lori latumbukia mtoni, mmoja amefariki dunia Daraja lililopo eneo la Mbecha Barabara ya Mbecha-Ndanda, Kata ya Nanganga wilayani Ruangwa limekatika na kusababisha lori kutumbukia mtoni na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
Majaliwa, Kinana wataka CCM itoe fomu moja ya Urais kwa Samia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amesema utamaduni katika chaguzi za ndani za chama hicho utaendelezwa kwenye Uchaguzi Mkuu ujao 2025 kwa kupitisha jina...
Afariki akiogelea kufuata mtumbwi wake Zuberi ameeleza kuwa, marehemu anavua samaki katika Pwani ya kijiweni na jana alifanya hivyo kwa kuwa yalikuwa mazoea yake ya kuogelea kwenda upande wa pili, lakini alipofika katikati, maji...
Uzalishaji madini ya kinywe kuanza karibuni Ruangwa Mkuu wa Wilaya wa Ruangwa, Hassan Ngoma amesema kukamilika kwa mradi huo kutachochea ukuaji wa sekta ya madini na maendeleo katika wilaya hiyo, huku akiomba huduma ya umeme ifike katika kijiji...
Wanakijiji Chikombwe waomba muda zaidi wahame hifadhini Wakazi wa Kitongoji cha Nang'ulungu, Kijiji cha Chikombwe mkoani Lindi wameiomba Serikali iwaongezee muda wa kukaa katika eneo la Hifadhi ya Msitu wa Nyengedi baada ya kupewa siku 60 za kuhama.
Polisi Lindi kuwabana madereva Lindi. Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani mkoani hapa, limesitisha safari kwa baadhi ya magari ya abiria baada ya kubainika kuwa na hitilafu. Hayo yamesemwa leo Jumanne Desemba 12...