Mwana FA kutoka kuwa mwanaHip Hop hadi U-naibu waziri Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza, Hamis Mohamed Mwinjuma ‘Mwana FA’ kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Mwana FA kutoka kuwa mwanaHip Hop hadi U-naibu waziri Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza, Hamis Mohamed Mwinjuma ‘Mwana FA’ kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Bavicha wajadili kujaza nafasi ya Nusrat Hanje Nusrat Hanje ni miongoni mwa wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa Chadema kwa kosa la kuapishwa kushika nafasi hizo bila ruhusu ya chama hicho Novemba 2020.
Sh1.76 bilioni zatengwa kugharamia mapitio mitaala ya elimu Wakati shughuli ya ukusanyaji wa maoni kwa ajili ya maboresho ya mitaala ikitarajiwa kukamilika Desemba 2022, Sh1.769 bilioni zimetengwa ili kumalizia majukumu hayo.
Kuna siri kati ya HipHop na uongozi? Wiki hii msanii wa hip hop Bongo, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ ameapishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuiongoza wilaya hiyo...
Wakuu wa Wilaya wapya 2021 Ahadi imetimia. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Rais Samia Suluhu Hassan jana kutekeleza ahadi yake ya kupangua wakuu wa wilaya aliyoitoa wiki iliyopita na katika uteuzi alioufanya usiku...