Neno ‘umwagaji damu’ linavyomtesa Trump, Biden ahamaki kura za maoni
Wakati neno ‘bloodbath’ au ‘umwagaji damu’ lililotumiwa na Donald Trump likileta taharuki na kuibua tafsiri mbili tofauti, mpinzani wake, Rais Joe Biden naye amehamaki na kutoa kiapo...