Vyama vya siasa Tanga vyataka wakandarasi wabanwe Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mkoa wa Tanga, Ramadhan Manyeko, amesema miradi inayobainika kuwa na kasoro wakati wa ukaguzi wa Mwenge wa Uhuru inapaswa kuwajibisha wahusika ili kudhibiti ubadhirifu...
Serikali yataja mikakati kukabili sikoseli Tanga. Takribani watoto 14,000 huzaliwa na ugonjwa wa sikoseli kila mwaka nchini, huku maelfu ya wengine wakiendelea kuishi na changamoto za maumivu ya mara kwa mara, kulazwa hospitalini na...
75 wakamatwa Tanga katika operesheni maalumu za Polisi Watu 75 wamekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga kufuatia msako maalumu uliofanyika katika maeneo mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao.
Utafiti wafichua ukatili kwa wavuvi wanawake Utafiti huo unaweka wazi umuhimu wa hatua za pamoja kutoka kwa Serikali, wadau wa maendeleo na jamii kwa ujumla katika kulinda haki za wanawake na kuhakikisha sekta ya uvuvi inakuwa jumuishi...
Uzalishaji waongezeka, unywaji bado chini Tanzania Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk Fabian Madele, amesema licha ya Tanzania kuzalisha takribani lita bilioni 4.1 za maziwa kwa mwaka, bado kiwango hicho hakitoshelezi mahitaji ya...
Kaya maskini 20,000 Tanga zaanza kunufaika na bima ya afya kwa wote Zaidi ya wanufaika 20,000 kutoka kaya 7,816 wameshapatiwa kadi za bima, na wanufaika hao wameanza kutumia huduma hizo tangu Machi mwaka huu.
SMZ yakiri changamoto ya kurundikwa vifusi mbele ya nyumba za watu Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekiri wananchi kuathirika na vifusi vinavyowekwa mbele ya nyumba zao kutokana na ujenzi unaoendelea katika barabara za ndani.
Walalamikia mwitikio hafifu wa washiriki maonyesho ya biashara Tanga Idadi ya washiriki katika maonyesho ya 13 ya kimataifa ya biashara yanayofanyika katika viwanja vya Mwahako jijini Tanga, imepungua kutoka washiriki 400 katika miaka iliyopita hadi 120 mwaka huu.
CCM Tanga yaanza utekelezaji mradi wa nyumba za watumishi Ndoto ya muda mrefu ya kuhakikisha watumishi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga wanapata makazi ya uhakika na kuondokana na mzigo wa gharama za pango, imeanza kuchukua sura.
Doyo: Wanasiasa watatue kero za wananchi si mijadala ya 2030 Katibu Mkuu wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo, amewataka wanasiasa kuendelea kuelekeza nguvu zao katika kushughulikia changamoto za wananchi na kuunga mkono...