Utafiti waibua changamoto zinazoukabili ushirika, Mwinyi ataka zishughulikiwe haraka Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeanza mazungumzo na Benki ya Ushirika Tanzania ili itoe mikopo nafuu isiyo na riba kwa vikundi vya ushirika.
Ushirika chachu ya maendeleo ya wananchi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff amesema sekta ya ushirika Zanzibar ina mchango mkubwa katika kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi, huku ikiwezesha...
Huu hapa mchanganuo waliochukua fomu za ubunge, uwakilishi na udiwani Z’bar Kwa upande wa wabunge pekee waliochukua fomu na kurejesha ni 485 huku upande wa uwakilishi wakiwa 400.
Mwinyi awaapisha RC, maDC wakiahidi kushughulikia kero za wananchi Walioapishwa ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Hamida Mussa Khamis na wakuu wa wilaya watano ambao aliwateua hivi karibuni na kuwaweka pembeni waliokuwa wameshikilia nafasi hizo baada ya kuchukua...
Miradi ya maendeleo yaahirisha Tamasha la Kizimkazi Kwa mujibu wa taarifa iliyokuwa imetolewa awali Juni 15 mwaka huu, tamasha hilo la 10 lilitarajiwa kuanza Julai 19 hadi 26 mwaka huu.
Zanzibar kuwakutanisha wadau kujadili Kiswahili Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 2, 2025 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Fatma Hamad Rajab amesema watafanya shughuli zinazohusiana na lugha na utamaduni wa...
Utaratibu mpya ukataji leseni usafirishaji watalii, kuleta ahueni Utaratibu uliopo kwa sasa unamtaka mtu anayefanya biashara ya kusafirisha watalii kwa gari kulipia leseni ya Sh5,000 kwa siku, hali inayofanya gharama ya mwaka kufikia Sh1.8 milioni.
Rais Mwinyi awaweka pembeni RC, ma- DC wakiwamo wanaoutaka uwakilishi, ubunge Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya watano kufuatia baadhi ya waliokuwa wakishikilia nafasi hizo kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi za...
Hizi hapa sababu ZRA kuvuka lengo makusanyo ya mwaka kwa asilimia 101 Amesema makusanyo hayo yameongezeka kwa asilimia 19.91, sawa na Sh143.122 bilioni, ikilinganishwa na makusanyo halisi ya mwaka wa fedha 2023/24 ambayo yalikuwa Sh718.760 bilioni.
Z’bar kutumia wahudumu wa afya ngazi ya jamii kuimarisha mifumo Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Juni 30, 2025 wakati wa mahafali ya kwanza ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (Suza) Mkoa wa Kusini...