Search

46 results for Julius Mnganga :

  1. Mwananchi yang’ara tuzo za Ejat, yazoa 12

    Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imeshinda tuzo 12 usiku wa jana Jumamosi Julai 22, 2023 katika mashindano ya Tuzo za Umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania (Ejat).

  2. MCL yaongoza wateule tuzo za EJAT 2022

    Jopo la majaji wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) limewateua waaandishi 18 kutoka Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kuwania tuzo hizo kati ya wanataaluma 91...

  3. Mhariri Mwananchi: Mkakati unahitajika kukabili mfumko wa bei

    Mhariri wa Uchumi wa Gazeti la Mwananchi, Julius Mnganga amesema kunahitaji mkakati wa kitaifa wa kukabiliana na mfumko wa bei za vyakula unaotikisa katika maeneo mbalimbali nchini.

  4. Rushwa ni kilio uombaji zabuni

    Wakati Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) ikimpongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na mamlaka za usimamizi kwa kuboresha mazingira ya biashara nchini, Serikali imewaonya wafanyabiashara...

  5. Tozo za miamala, mikopo ya wanafunzi ilivyotokisa bajeti

    Ukiacha moto aliouwasha Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina alipohoji kwa nini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya Sh360 trilioni na dola 181.4 milioni za Marekani hazijaamuriwa hadi Septemba 2022...

  6. Mwasi Mboya alivyoikwaa PhD akiwa na miaka 27

    Baada ya wazazi wake kumlipia kuanzia Shule ya msingi Mount Kibo jijini Dar es Salaam kisha Sekondari ya Pangahill mkoani Mbeya na Sekondari ya Wasichana Mariani iliyopo Bagamoyo, ilikuwa...

  7. Balozi akata mzizi wa fitina ujenzi bomba la mafuta

    Wiki mbili tangu Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) litoe tamko la kupinga ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda mpaka Tanga (EACOP), Balozi wa umoja huo nchini, Manfredo Fanti amesema bunge hilo...

  8. Ukuzaji broila kwa dawa unavyotishia afya za walaji

    Kutokana na athari zake kwa afya ya binadamu, mazingira na mifugo yenyewe, wataalamu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) pamoja na Shirika la Viwango Tanzania (TBS)...

  9. Tozo za moto

    Wakati wananchi wakilalamika kuanzishwa kwa tozo ya miamala ya kielektroniki katika akaunti za benki, mbunge wa Babati Vijijini na mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge, Daniel Sillo amesema...

  10. Wasomi: Tozo mpya ya benki ni batili, ifutwe

    Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda...

Page 1 of 5

Next