Watia nia, wajumbe CCM waonywa Wito huo umetolewa leo Alhamis Julai 3, 2025 jijini Mwanza na Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Omary Mtuwa wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu mchakato huo.
Kamati ya Sera ya Fedha yapunguza riba kuongeza pesa kwenye mzunguko Mwenyekiti wa MPC, Emmanuel Tutuba akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 3, 2025 amesema lengo la hatua hiyo ni kuongeza fedha katika mzunguko kipindi ambacho ni cha mavuno ili...
PRIME Majaliwa aacha maswali matatu Kassim Majaliwa ameungana na Fredrick Sumaye kuwa miongoni mwa mawaziri wakuu walioongoza kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo, wengine tisa waliongoza chini ya miaka hiyo
Zanzibar kuwakutanisha wadau kujadili Kiswahili Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 2, 2025 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Fatma Hamad Rajab amesema watafanya shughuli zinazohusiana na lugha na...
PRIME Samia anastahili shukrani hotuba ya kulivunja Bunge la 12 Nilisikiliza hotuba ya Rais Samia aliyotoa bungeni ile siku alipozindua rasmi utawala wake wa Awamu ya Sita, na pia nikaisikiliza tena juzi Ijumaa alipolivunja Bunge kuhitimisha nusu ya kwanza ya...
Yas yazindua huduma ya uchunguzi wa macho bila malipo Sabasaba Zaidi ya wananchi 25,000 wamefaidika na kampeni ya “Afya ya macho kwa wote” tangu kuanzishwa kwake
Zege halilali...wengine wajitosa ubunge CCM, yumo Mama Salma Kikwete Mchakato huo unatarajiwa kukamilika Julai 2, 2025 ambapo tayari wabunge wanaotetea majimbo yao, wabunge wa zamani, watoto wa vigogo na wafanyabiashara, wamejitokeza kuchukua fomu.
Chaumma yapuliza kipyenga ubunge na udiwani, urais ngoma nzito Chama hicho kinaungana na vyama vingine vikiwemo Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo, ambavyo tayari vimeshatangaza ratiba ya uchukuaji na urejeshaji fomu za ubunge, udiwani na uwakilishi.
Wengine wachukua fomu ubunge CCM, wamo waliokuwa wabunge wa Chadema Makada wa CCM wamezidi kujitokeza kuchukua fomu katika majimbo mbalimbali nchini wakiomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 utakaohusisha...
Sh2.5 bilioni zatengwa kwa wajasiriamali, biashara endelevu Tanzania Mradi wa Ubunifu wa Funguo, ambao ni unafadhiliwa kwa pamoja na Umoja wa Ulaya (EU), Jamhuri ya Finland na Serikali ya Uingereza (FCDO) na kutekelezwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo...