Search

33 results for Zuleikha Fatawi :

  1. Washikiliwa kwa kumshambulia waliomtuhumu kwa ugoni

    Mundhir Karama alishambuliwa kwa fimbo na vitu vyenye ncha kali na kufungwa kitambaa usoni, kisha kupelekwa sehemu isiyofahamika kwa gari. Kisa cha kufanywa hivyo ni kutuhumiwa kufumaniwa na mke...

  2. Mwinyi aendeleza juhudi za kukuza utalii Zanzibar

    Wadau hao wamekutana kujadili namna watakavyoiunga mkono Serikali kwenye jitihada za kukuza sekta ya utalii visiwani humo.

  3. Petroli, dizeli bei juu Zanzibar

    Haji amesema mafuta ya dizeli lita moja ni Sh3,102 wakati mwezi uliopita yaliuzwa kwa Sh3,101, sawa na ongezeko la asilimia 0.03.

    New Content Item (1)
  4. Zaidi ya 4,000 waugua ugonjwa wa macho mekundu Zanzibar

    Naibu Waziri wa Afya Zanzibar, Hassan Khamis Hafidh amesema hayo leo Januari 30, 2024 na kuongeza kuwa, wagonjwa hao wameripotiwa katika hospitali na vituo vya afya vya Serikali na binafsi.

  5. Mbowe atinga kwa mabalozi, Lwaitama amvaa Wasira

    Kutokana na kauli za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Stephen Wasira za kukosoa mpango wa Chadema kuandaa maandamano Januari 24, mwaka huu, kupinga miswada ya sheria za uchaguzi, chama...

  6. Chauma waomba Rais Samia akutane na vyama vya siasa

    Chama Cha Ukombozi wa Umma Taifa, (Chauma), kimemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na viongozi wa vyama vya siasa ili kuzungumza nao kwa ajili ya kuleta mwafaka wa kitaifa.

  7. Museveni asimulia alivyoruka kihunzi mchele wa Tanzania

    Iwapo angetekeleza hatua ya kupiga marufuku mchele huo, Museveni alisema angelifanya kile alichokiita dhambi nne.

  8. Dk Mwinyi kuboresha masilahi ya walimu Zanzibar

    Rais Mwinyi amesema walimu wanafanya kazi katika mazingira magumu hivyo kuanzia sasa watapatiwa mazingira bora.

    New Content Item (1)
  9. Serikali yajivunia kusimamia dhana ya Mapinduzi matukufu

    Kwa upande wa elimu, Abdulla amesema Serikali imefanikiwa kujenga shule 64, kati ya hizo 34 ni za ghorofa, lengo likiwa wanafunzi kwenda shule kwa mkondo mmoja na kila darasa lichukue wanafunzi...

  10. Maboresho ya daftari la wapiga kura kuanza kesho

    Wakati zoezi la maboresho kwenye daftari la kudumu la kupiga kura likianza, Chama cha Mapinduzi (CCM), kimewaomba wananchi waliotimiza sifa za kupiga kura kujiandikisha kwenye daftari hilo ili...

Previous

Page 2 of 4

Next