Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. LIVE: Rais Samia akifungua kikao kazi maafisa waandamizi Jeshi la Polisi

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika ukumbi wa shule ya polisi Tanzania(TPS) Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya ufunguzi kikao kazi cha Maofisa wakuu...

  2. AfCHPR yapata jaji mpya

    Jaji huyo, Dennis Adjei kutoka nchini Ghana ameapishwa leo Agosti 29, mbele ya Rais wa mahakama hiyo, Jaji Imani Aboud kuwa miongoni mwa Majaji 11 wa Mahakama hiyo.

  3. Vigogo wamzika Mrema Kiraracha

    Viongozi mbalimbali wa kisiasa na serikali wameshiriki mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, Agustine Lyatonga Mrema (77) nyumbani kwake, Kiraracha...

  4. Mbowe: Mrema alikuwa ni mtu wa kuthubutu

    Mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustine Lyatonga Mrema unazikwa leo Alhamisi nyumbani kwake, Kijiji cha Kiraracha, Marangu, Mkoa wa Kilimanjaro.

  5. Mbowe, Mbatia watua Kiraracha kumzika Mrema

    Leo Alhamisi, Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha TLP, Agustine Lyatonga Mrema (77) unazikwa nyumbani kwake, kijiji cha Kiraracha, Marangu mkoani Kilimanjaro huku viongozi mbalimbali...

  6. Makarani wanaotembea na vishkwambi maeneo ya starehe waonywa

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewataka makarani wa sensa mkoani humo kutokwenda na vishikwambi kwenye maeneo ya starehe.

  7. Wapenzi waingia matatani wakidaiwa kumuua ajuza

    Wapenzi wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua bibi kizee wa miaka 100 kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati wakigombea ardhi.

  8. Waziri Mkuu mstaafu atoa ujumbe kwa Watanzania

    Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Cleopa Msuya amehesabiwa Sensa ya Watu na Makazi huku akitoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu kazi hiyo.

  9. Wahadzabe wasikitika kunyimwa bangi kushiriki sensa

    Licha ya Serikali kutoa nyamapori ya nyumbu 20 kwa jamii ya wawindaji, waokota matunda, wakusanya mizizi na warina asali ya wahadzabe wa bonde la Yaeda Chini Wilayani Mbulu mkoani Manyara, baadhi...

  10. RC Kilimanjaro ataka wananchi kushiriki kwa wingi Sensa

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewataka wananchi wa mkoa huo kuendelea kushiriki kwa wingi katika sensa ya watu na makazi na kusema mpaka sasa mwitikio wa wananchi waliojitokeza...

Previous

Page 105 of 145

Next